GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Ningewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa
ghala la pumba hili
Ningewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa
CHADEMA ni kifupi cha maneno na siyo neno la kiswahili kama kilivyo chama cha majambazi C-C-MNingewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa
gamba on DUTY
Ningewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa
sishangai coz upo kwenye payroll ya chama cha magamba
Kama kawaida ya cdm viongozi + wanachama + wapenzi majibu rahisi kwa hoja nzito. Kuwa mweledi wa kiswahili ndipo ujibu najua ukiwezi kiswahili fasaha
Hoja nzito ipi!!?huu upumbavu+ujinga uliouandika ndio tukupe majibu mazito!!!!?Nimeamini hicho ndicho kipimo cha watu wa magamba aka wezi aka ccm
GeniusBrain! Siku c nyingi utakupata BAN,Pumbavuuuu sanaaaa!
Hii ndiyo GeniueBrain!! Hivi huu ndiyo upeo wako wa juu kabisa wa kufikiri? kila neno la kiswahili lingeluwa linagawanywa vipandevipande kama ulivyofanya kusingekuwa na maelewano kwa wazungumzaji wa kiswahili. Kumbuka Chgadema ni kufipi cha jina lenyewe la Chama kama ilivyo cccm ni kifupi cha Chama cha magamba.Ningewashauri wabadilishe jina la chama . Ukisema DEMA kwa kiswahili fasaha ni kushindwa. kwa hiyo CHADEMA maana yake kwa kiswahili fasaha ni CHAkushindwa
Hii ndiyo GeniueBrain!! Hivi huu ndiyo upeo wako wa juu kabisa wa kufikiri? kila neno la kiswahili lingeluwa linagawanywa vipandevipande kama ulivyofanya kusingekuwa na maelewano kwa wazungumzaji wa kiswahili. Kumbuka Chgadema ni kufipi cha jina lenyewe la Chama kama ilivyo cccm ni kifupi cha Chama cha magamba.