Mgombea wa ccm katika uchguzi mdogo jimbo la bububu zanzibar ametangazwa mshindi leo hii kwa kupata asilimia 57 ya kura zote zilizopigwa. Source ni itv habari sa 2 usiku huu
Chadema wamepata kura asilimia ngapi?
Chadema wamepata kura asilimia ngapi?
Chadema wamepata kura asilimia ngapi?
kabla ya hapo nani alikuwa mbunge na wa chama gani?
Mgombea wa ccm katika uchguzi mdogo jimbo la bububu zanzibar ametangazwa mshindi leo hii kwa kupata asilimia 57 ya kura zote zilizopigwa. Source ni itv habari sa 2 usiku huu
Chadema wamepata kura asilimia ngapi?
Ushindi wa kishindo ukoje?Hivi karibuni kulikuwa na uchaguzi wa uwakilishi jimbo la bububu, ambapo vyma kadha ikiwemo cuf na ccm vilishiriki.Kwa kuwa chadema haina nguvu kubwa haikuweka mgmbea ili kutopoteza muda na kuingia gharama zisizo na msingi.Le uchaguzi umefanyika na ccm imeshinda kwa kishindo.Cuf ambacho ni chama chenye nguvu pinzani, unguja na pemba, kimeangukia pua.Tathmini ya siku nyingi ya wanazuoni wamekuwa wakiilaumu cuf wakutengeneza maridhiano na sheria ya kufaidisha wachache na kukidhoofisha chama.Uchaguzi uliopita alionekana mh.jussa alilaumu chadema kwa propagada chafu zinachokifanya kishindwe, je kipindi hiki jussa na komredi mtatiro wanakisingizio gani?
waliogopa aibu nini?Haikushiriki!
Ushindi wa kishindo ukoje?
Unaweza ukaweka data hapa za kura walizopata wagombea wote tuone kama kweli ulikua ushindi wa kishindo??
Maalim alikimbia uchaguzi akaenda zake Ughaibuni. Angekuwepo tungeshindaHivi karibuni kulikuwa na uchaguzi wa uwakilishi jimbo la bububu, ambapo vyma kadha ikiwemo cuf na ccm vilishiriki.Kwa kuwa chadema haina nguvu kubwa haikuweka mgmbea ili kutopoteza muda na kuingia gharama zisizo na msingi.Le uchaguzi umefanyika na ccm imeshinda kwa kishindo.Cuf ambacho ni chama chenye nguvu pinzani, unguja na pemba, kimeangukia pua.Tathmini ya siku nyingi ya wanazuoni wamekuwa wakiilaumu cuf wakutengeneza maridhiano na sheria ya kufaidisha wachache na kukidhoofisha chama.Uchaguzi uliopita alionekana mh.jussa alilaumu chadema kwa propagada chafu zinachokifanya kishindwe, je kipindi hiki jussa na komredi mtatiro wanakisingizio gani?
ccm imeshinda kwa 50.7%
Ameanza na ... hivi karibuni kulikuwa na uchaguzi.... kama vile ni siku kadhaa zimepita kumbe ni leo! Haonyeshi kishindo!