Wana-JF mtaniwia radhi ikiwa nitakuwa narudia mada iliyokwishatolewa mapema leo. Huko Tunduru kuna kikundi kinachosadikiwa nicha eti "waislam wenye itikadi kali" wamekuwa wakivamia na kuuwa nguruwe wanaofugwa na wakristo na pia wamechoma gari la askofu mmoja wa kanisa moja huko; na pia wameharibu gari la mchungaji wa kanisa lingine huko huko.
Kwa mujibu wa Radio WAPO, uhalifu huu haujachukuliwa hatua zozote na kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma. Choko choko za uvunjaji wa sheria na kuzua ghasia hizi umesababishwa na kundi moja la mihadhara la kiislam linalohubiri dhidi ya imani ya wakristo. Mhadhara huo umeanza wiki iliyopita. Kutokana na mahubiri hayo, inasemekana hofu imetanda mjini hapo Tunduru.
Ninachotaka kukumbusha ni kwamba vurugu kama hizo ndizo zilizotokea miaka ya 1998-99 hapo Mwembechai. Waislam wakahamasishana kwenda kuvunja mabucha ya nguruwe barabara ya Tandale. Kilichotokea tunakijua, watu waliuawa, kina mama wa kiislam walidharirishwa pale msikiti wa Mwembechai.
Sias hizi, hazikuzuka tu. Utawala wa Alli Mwinyi ulianza kulea na kuatamia chokochoko hizi. Rais Mkapa akiongoza Chama cha Mafisadi (CCM) akajitahidi kupinga sera na choko choko za jinsi hii. Wakati wa kampeni za JK kugombea kwa awamu zote mafisadi CCM wameutengeneza udini kufikia hatua ya juu kabisa.
Kwa hiyo, kinachoendelea huko Tunduru ni mkakati ule ule wa kuiingiza Tanzania katika genoside(mauaji ya kimbali). Mauaji haya yatakuwa mabaya zaidi kuliko yale ya Rwanda. Haya hayatazimwa kwa namna yo yote. Mtoto aliyezaliwa na CCM 'udini' miaka ya Alli Mwinyi sasa amekua amekuwa kijana ambaye shughuri zake zikionekana kwa uwazi sasa kwa kuwa serikali ya JK na CCM chini yake imempa uhuru mtoto huyu kufanya atakavyo. Mtoto ameng'amua baba hana kauli dhidi yake. sasa amekuwa sugu.
HONGERA serikali ya CCM vita mliyoipanga na kuiratibu imeanza kupiganwa Tanzania.
ANGALIZO: Vita haitakuwa na mwenye nafuu, huko Mbeya ufugaji wa nguruwe hufanywa na watu wa dini zote-nguruwe ni ufugaji wa kiuchumi mkoani humo kwa hiyo,watu wa imani moja watashindania nguruwe hawa wakisema haramu na hawa wakisema ni biashara. CCM hamtanusurika! maana katibu mkuu wa wizara na waziri wake ni wa imani tofauti.