Ccm washington dc kiboko.....sasa mambo futari...ccm hoyeee

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
FUTARI YA PAMOJA WASHINGTON DC

Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, Mwenyekiti na uongozi wa CCM Tawi la DMV tunawatakia waislam wote duniani Ramadhani njema.
Pia tunawakaribisha watu wote katika futari ya pamoja kama ilivyodestruti tunaungana nao katika mwezi huu wa Ramadhani.
Watanzania wote mnakaribishwa katika futari hiyo ya pamoja.

SIKU: IJUMAA: AUGUST 3, 2012-07-31

WAKATI: 7.30 P.M

ADDRESS 10615 New Hampshire Avenue
Silver Spring , MD 209903
RAMADHANI KAREEM
UONGOZI WA TAWI
 
pondeni kodi zetu maji yanachemka mi najua mkiwa u.s mnakuwa na uchungu mnaona wenzenu wanamaendeleo kumbe wapi.. au ndio njaa wabeba mabox bwana..poleni sana.
 
...Kwa kusema 'CCM Hoyee' kwa vile tu mmekaribisha watu kwenye futari ndio ujinga tunaokataa kila siku huo.

Nasi tukikuambia kuwa gaweni tu hiyo futari kwa sababu mmezoea kudanganya watu kwa Pilau, usikasirike...!!
 
Back
Top Bottom