Kwanza Dr. Hope, karibu, pili haya yapi?.Taarifa kutoka jimbo la Kawe inaonesha haya...
Taarifa kutoka jimbo la Kawe inaonesha haya...

wanachakachua matokeo ya madiwani. Matokeo yaliyokubaliwa jana ni tofauti na yale yaliyopelekwa kwenye majumuisho. Inasemekana kuna baadhi ya sehemu wamefuta. Baada ya mawakala kuyakataa, wamewalazimisha waubali kuhesabu tena. Lakini wananchi wanakataa kurudia kuhesabu kwa kuwa tayari mabox ya kura yalikuwa mikononi mwa hao wezi. Kwa hiyo kuna utata mkubwa sana unaendelea huko