Elections 2010 CCM walijua na kufikiria nini kabla...?

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
== Kabla ya kuamua kuitupilia mbali hoja ya mgombea binafsi wa urais?
... waliogopa kuwepo watu waliomashuhuri na kuaminika kuweza kumpiku urais Mh. Kikwete?
... waliogopa kura kutawanyika sana na mmoja wa wapinzani angeliweza kushinda uchaguzi?

== Kabla ya Chadema kumteua Mh. Slaa kuwawakilisha kwenye kiti cha urais?
... walijua ni Ndg. Mbowe ndiye atakaye wawakilisha Chadema?
... walidhani Mh. Slaa hatokubali kupoteza kiti chake cha ubunge kwa kimbilio la urais?

Naomba mnisaidie kuyajibu haya, ahsanteni.

Steve Dii
 
Hiyo ilikuwa ni nadharia sasa kitu kamili kipo mbele yao inabidi tuone moto unavyowaka?
 
JK sijui kama anapata usingizi..maana Dr.Slaa ni chuma haswa sijui atamkabili vipi.mi natamani waweke mdahalo nione JK anavyoweweseka na kuwekwa kati
 
From wht I know and believe CCM ni chama cha biasdhara ambapo uongozi unauzwa na kununuliwa kama vile bidhaa yeyote sokoni.

Na mwaka huu ndiyo tutaona rangi halisi za muungwana maana alizoea eazy ride! Wale wanaosema ooh ni muumini wa demokrasia, mara ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Ati ooh huwa hatumii polisi kukandamiza wapinzani wake.

This is the year to prove that.
 
JK sijui kama anapata usingizi..maana Dr.Slaa ni chuma haswa sijui atamkabili vipi.mi natamani waweke mdahalo nione JK anavyoweweseka na kuwekwa kati

Mdahalo kwa JK?! On his dead body. Labda mahojiano na Tido mhando pale TBC1
 
== Kabla ya kuamua kuitupilia mbali hoja ya mgombea binafsi wa urais?
... waliogopa kuwepo watu waliomashuhuri na kuaminika kuweza kumpiku urais Mh. Kikwete?
... waliogopa kura kutawanyika sana na mmoja wa wapinzani angeliweza kushinda uchaguzi?

== Kabla ya Chadema kumteua Mh. Slaa kuwawakilisha kwenye kiti cha urais?
... walijua ni Ndg. Mbowe ndiye atakaye wawakilisha Chadema?
... walidhani Mh. Slaa hatokubali kupoteza kiti chake cha ubunge kwa kimbilio la urais?

Naomba mnisaidie kuyajibu haya, ahsanteni.

Steve Dii

Usikose kumpigia Dr. Slaa kura na wagombea wa CHADEMA ktk udiwani na ubunge. Hapo ndipo utakapo pata majibu ya maswali yako.
 
Hakika mpaka sasa mauzo ya handkerchief na tissue yatakuwa yameshamiri vibaya sana kwa joto aliloleta Dr. Slaa na kuendelea kulikoleza dhidi ya himaya ya CCM!!

Hivi waliliona hili, strategists wao lazima walikuwa wamelala kutoruhusu hukumu ya mgombea binafsi ishinde. Itakula kwao na kuzidi kumega zaidi...
 
Sheikh Yahya at its best!
 
== Kabla ya kuamua kuitupilia mbali hoja ya mgombea binafsi wa urais?
... waliogopa kuwepo watu waliomashuhuri na kuaminika kuweza kumpiku urais Mh. Kikwete?
... waliogopa kura kutawanyika sana na mmoja wa wapinzani angeliweza kushinda uchaguzi?

Naomba mnisaidie kuyajibu haya, ahsanteni.

Steve Dii

sidhani kama ccm ilikuwa ina wasi wasi sana hivyo kwenye upande wa rais (at least before Slaa kutangaza nia).Wasi wasi wazo zaidi ni nafasi za ubunge na nafasi nyengine za serikali za mitaa.

Wanajua kuwa kutoa nafasi ya wagombea binafsi, wangeibuka watu wanaokubalika ndani ya jamii ambao hawataki kujiunga na siasa za kichama na hivyo kupunguza idadi ya viti vya ccm bungeni.

Wanajua kuwa chama chao kina majungu na makundi, na ingekuwa njia nyepesi sana kwa waliochoshwa kujiengua na kujichotea kura ambazo ingepigiwa ccm
 
Steve Diiiiiiiiiiiii usijesababisha kikwete akaanguka tena kabla ya tarehe 31.10.
Tuna hakika 31.10 tena ataanguka pale Jangwani, na wewe unataka aanguke mapema kabla ya hapo. this is not good.
 
Sheikh Yahya at its best!

Whatever you mean!!

Man, It is reality check moment and you couldn't phaseout the truth.... At this very moment, the CCM supreme echelon must be doubling on its diapers!!
 
Steve Diiiiiiiiiiiii usijesababisha kikwete akaanguka tena kabla ya tarehe 31.10.
Tuna hakika 31.10 tena ataanguka pale Jangwani, na wewe unataka aanguke mapema kabla ya hapo. this is not good.

Is it?!.... Aiseeee!!!
 
sidhani kama ccm ilikuwa ina wasi wasi sana hivyo kwenye upande wa rais (at least before Slaa kutangaza nia).Wasi wasi wazo zaidi ni nafasi za ubunge na nafasi nyengine za serikali za mitaa.

Wanajua kuwa kutoa nafasi ya wagombea binafsi, wangeibuka watu wanaokubalika ndani ya jamii ambao hawataki kujiunga na siasa za kichama na hivyo kupunguza idadi ya viti vya ccm bungeni.

Wanajua kuwa chama chao kina majungu na makundi, na ingekuwa njia nyepesi sana kwa waliochoshwa kujiengua na kujichotea kura ambazo ingepigiwa ccm

Ama kweli huo ndiyo ukweli. Maana hoja ya mgombea binafsi isingeishia kwa kiti cha Urais tu, bali ingeli apply kwa viti vya ubunge pia... so CCM kuona watapoteza viti (to which they were), as usual, wakashinikiza mahakama kutupilia mbali pingamizi. But all in all, as I can observe, that hasn't helped either. The torrent of change is swooping up jamii with devastating effect to ruling feudalists!!!
 
Back
Top Bottom