Ccm wakamatwa wakitoa. Rushwa kata yakiwira

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Dakika hii nguvu ya umma imelizingila pagala moja mjini kiwira huku ndani kukiwa na wakina mama walio kusanywa kutoka sehemu mbalimbali ili kupokea rushwa laki baadhi yao walitoa taarifa kwa wanachadema na mpaka sasa jengo lipo chini ya ulinzi wa chadema na polisi. Hapa ni kata ya kiwira mbeya.
 
kwa mtindo wa ccm rushwa ngumu kuisha. wananchi waogope rushwa kama ambavyo hawapendi maisha magumu
 
Mpaka sasa takukuru hawapatikani nguvu ya umma imerizingira jingo.
 
hiv kwann takukuru inazembea namna hii au ni kwa vile ni ccm ndo imekamatwa? ingekuwa chadema ungekuta mpaka mahakaman wameshafikishwa!
 
Equation: If corruption is going on openly b4 the mass and no any of government body comes in then find CCM...

CCM=[NEC+TAKUKURU/TISS*POLICE-CDM]
 
Mpaka mida hii nguvu ya umma imerizingira jengo watu wapo ndani wanashindwa kutoka umati nje nimkubwa sana police wanaogopa kusogea
 
Mpaka mida hii nguvu ya umma imerizingira jengo watu wapo ndani wanashindwa kutoka umati nje nimkubwa sana police wanaogopa kusogea

Kama polisi wanaogopa kusogea na takukuru kama hawapatikani, nadhani ni vizuri viongozi wa chadema kwa kushirikiana na viongozi wa serikali ya mtaa/kijiji wachukue jukumu la kuingia ndani ya nyumba hiyo na kuwapekua watuhumiwa na kama watapata ushahidi basi wawapeleke kituo cha polisi kwa hatua zaidi za kisheria, hata kama polisi wenyewe ndo wale wale.
Watu wakiendelea kujaa hapo yasije yakatokea maafa ambayo yangeweza kuepukwa.
 
Mabom yamachozi yanapigwa vijana wanachoma matairi balabalani.hali ni mbaya sana nguvu ya umma toka mjini inaongezeka.
 
Inavyosomeka ni kuwa polisi hawana utayari wa kuwakamata wahalifu, wanaplan kuwatorosha watuhumiwa au kupoteza ushahidi. halafu mnapinga mob justice!!!!!
 
Back
Top Bottom