CCM waja na mbinu mpya

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
katika ile hali ya kujiweka sawa na kuimarisha chama, ccm wamekuja na mbinu mpya ya kutaka kurudisha imani ya chama chao iliyopotea mbele ya wana nchi, kila mbunge wa ccm awe wa kuchaguliwa, awe wa kuteuliwa, naona wanaanza/kumaliza hoja kwa kukiponda chama kikuu cha upinzani, mtazamo wangu naona hii ni ajenda na mbinu waliyojizatiti kuingia nayo kwenye bunge hili ili angalao kupunguza nguvu ya chadema.

pia kama alivyosema Mh Mnyika kuwa JK ni mzembe, kwani ni uongo????
ni mtazamo wangu wadau
 
hilo halina ubishi lakini wananchi sio wa miaka ya uhuru leo hii asilimia kubwa yawatanzania wanaelewa yupi ni mkweli na kipi si chaukweli hata wabadilike kama nyoka au kinyonga hawafui dafu 2015 itakula kwao mazima
 
Wamechelewa treni ilishafika msagali......wao ndiyo wanaondoka Dar
 
kila mbunge wa ccm lazma atupe kijembe hata kama hajakiweka vizuri,mwisho wao ndio umefika
 
Wananchi tulishaona ukweli wote na hadanganyiki mtu tena jamani. Shule za kata zimetufungua akili na sasa tunaona ukweli.
Nilikuwa huku kijijini kwetu nikiangalia TBC pamoja na wanakijiji wenzangu.
Nasikitika mwisho wa ccm umefika.
 
HAWANA JIPYA...MPAKA WAIGE KWA CDM. ! wasubiri kwanza chademu ainzishe kitu ndo na wao watapata aidia..! PREZIDA DHAIFU..!
 
Jamani JK ni dhaifuuuu, modes namimi sijui watanitoa nje???????
let me see
 
Mbinu nyingine ni kuomba miongozo na kutoa taarifa ili kupoteza mda wa mchangiaji wa kambi ya upinzani na kumuondoa kwenye mtiririko. Safari hii ccm imekula kwao. Mia
 
Msigwa kawambia waache kujipendekeza, hao wanatafuta vyeo toka kwa rais dhaifu naskia mwigulu anataka awe waziri wa feza, lusinde waziri wa afya, komba waziri wa mambo ya nje,. Ccm kwishney
 
Narudia tena jk ni dhaifuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Kwani hata nchi imemshinda ana waza kufanya campaign yeye na chama chake.anacho waza ni kuongeza mikoa
 
Ni mbinu DHAIFU haina Madhara kwa CDM coz kamanda 1 CDM sawa na Wabunge Dhaifu wa ccm 100. na watajimaliza hata kabla ya muda wao kwisha
 
katika ile hali ya kujiweka sawa na kuimarisha chama, ccm wamekuja na mbinu mpya ya kutaka kurudisha imani ya chama chao iliyopotea mbele ya wana nchi, kila mbunge wa ccm awe wa kuchaguliwa, awe wa kuteuliwa, naona wanaanza/kumaliza hoja kwa kukiponda chama kikuu cha upinzani, mtazamo wangu naona hii ni ajenda na mbinu waliyojizatiti kuingia nayo kwenye bunge hili ili angalao kupunguza nguvu ya chadema.

pia kama alivyosema Mh Mnyika kuwa JK ni mzembe, kwani ni uongo????
ni mtazamo wangu wadau

Usimacho mimi sikipingi hata mara moja kwakuwa hilo linaonekana wazi na ninaimani hawatafanikiwa hata siku moja.
 
Sidhani chadema wanaweza kutekenywa wakacheka cheka cheka ovyo hiyo mbinu wamekosea wajipange upya chadema hawafanyi kwa vitendo wanaenda vijijini kabisa kuongea na wananchi hawaendi na pipi wala sukari wala chumvi wala ubwabwa. hivi hata watu jamani hawawezi kujipima? ccm nakumbuka kama kuna mkutano kuna malori yanafuata watu je chadema huwa wanafuata watu?? si wanakuja wenyewe tena bila kusukumwa na mtu? hizo ni dalili tosha kuwa hata wawadanganye vipi now hawadanganyiki nakuapia haki ya mungu hata hawa viongozi wa wilaya wa vyama ukiwachungulia kwenye mioyo yao woote wako upinzani sema hawana jinsi ni tumbo linawaweka hapo. nyie subiri 2015 muone watakavyopewa ban.
 
Back
Top Bottom