Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Watanzania wanalazimishwa kuwa gizani na Mafisadi na Symbion wanaolipwa USD .42cents kila unit. Badala ya kukabiliana na matatizo ya Watanzania kama swala la umeme, CCM inajikita kwenye mambo ya kipuuzi ya kumtetea Zitto. Mgao wa umeme ni wa kutengenezwa na mafisadi ya CCM. Mafisadi na symbion Wamezima Mitambo Makusudi ili waongezewe fedha
Sinema ndio inaanza. Huu ni mnyukano kati ya Generali Mboma na Katibu mkuu Maswi kuhusiana na Ufisadi wao.......Generali mboma anajitengenezea vikao 84 vya bodi kwa mwaka mmoja.
CCM Hoyeee........!!!!
Muhongo Hoyeeeeeee.....!!!!!!!
Mods: Mara nyingi tukiweka taarifa mnanyofoa, tafadhalini kwa maslahi ya umma, watanzania wajue ufisadi wa CCM. Habari zetu ni za ndani kweli. Mengi yasiwe na nyaraka kama hizi, lakini ni mambo ya ukweli