CCM udini, hautasaidia kukwamisha mabadiliko Arumeru Mashariki!!

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
CCM UDINI ,HAUTASAIDIA KUKWAMISHA MABADILIKO ARUMERU MASHARIKI !!

mchezo unaofanywa na viongozi wa CCM ambao wameanza kuitisha vikao na viongozi wa makanisa wakitaka kuungwa mkono walau kwa muda huu wa miaka mitatu uliobakia kabla ya uchaguzi mkuu.

“Tarehe 27 mwezi wa pili Mwigulu Nchemba ambaye ndiye mratibu wa kampeni za CCM hapa Arumeru alivamia kikao cha wachungaji na wakuu wa majimbo wa K...anisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania bila kualikwa, wengine waliokuwepo pale wakahoji juu ya uwepo wake katika mkutano huo, eti akawaambia yeye ni Mlutheri mzuri ameguswa kusikia mkutano huo, akaomba augharamie, akatoa fedha pale kama milioni mbili na zaidi.

SOURCE : TANZANIA DAIMA

“Juzi tena wameamua kuwaita wachungaji karibu 120 wa makanisa ya Kipentekoste, wanaomba, wanakiri kuwa chama chao kinakufa, lakini wakaomba watumishi wa Mungu hao washawishi waumini wao waichague CCM walau kwa miaka hii mitatu iliyobaki kabla ya uchaguzi mkuu…hii ndiyo tabia yao maana Igunga waliona watu wengi ni Waislamu wakatumia dini ya Kiislamu, sasa wameona Meru wengi ni Wakristo wanaanza kuwafuata Wakristo,
 
Hizi zote ni mbinu chafu ambazo hutumiwa na chama kilichoshindwa kutatua kero za wananchi! Watanzania tuamke.
 
Wakristu si watu wa kuburuzwa kama walivyo ndugu zetu, kila mtu anatafakari independently. Ndio maana utaona CCM na CDM kote kuna wabunge wachungaji, kwani hawafuati chama. Waisilamu ni rahisi kuwaburuza kutokana na jinsi walivyo. Hata huku Bunda tunawaburuza sana
 
ccm udini ,hautasaidia kukwamisha mabadiliko arumeru mashariki !! Mchezo unaofanywa na viongozi wa ccm ambao wameanza kuitisha vikao na viongozi wa makanisa wakitaka kuungwa mkono walau kwa muda huu wa miaka mitatu uliobakia kabla ya uchaguzi mkuu. “tarehe 27 mwezi wa pili mwigulu nchemba ambaye ndiye mratibu wa kampeni za ccm hapa arumeru alivamia kikao cha wachungaji na wakuu wa majimbo wa k...anisa la kiinjili la kilutheri tanzania bila kualikwa, wengine waliokuwepo pale wakahoji juu ya uwepo wake katika mkutano huo, eti akawaambia yeye ni mlutheri mzuri ameguswa kusikia mkutano huo, akaomba augharamie, akatoa fedha pale kama milioni mbili na zaidi. Source : Tanzania daima “juzi tena wameamua kuwaita wachungaji karibu 120 wa makanisa ya kipentekoste, wanaomba, wanakiri kuwa chama chao kinakufa, lakini wakaomba watumishi wa mungu hao washawishi waumini wao waichague ccm walau kwa miaka hii mitatu iliyobaki kabla ya uchaguzi mkuu…hii ndiyo tabia yao maana igunga waliona watu wengi ni waislamu wakatumia dini ya kiislamu, sasa wameona meru wengi ni wakristo wanaanza kuwafuata wakristo,
hawa wanatapatapa tu nadhani hakuna mchungaji mjinga anayeweza kuwapigia debe washenzi hao.waliamua kula tu hizo pesa kwasababu ya njaa c unajua tena vijijini hakuna chapaa,lakini kura wasahau.
 
Hivi hapo udini upo wapi? labda niulize tafsiri ya udini ni nini?
 
Udini....Uduni......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kazi kubwa sana. yaani sasa hivi wamekuwa duni, hawana mvuto tena, wameanza kutumia makanisa. wakiwa maeneo ya kiislamu, wanasema ukristo mbaya, wakiwa arumeru, wanasema ukristo mzuri.....kweli mfa maji sharti atape tape. hki ndiyo kifo chao. Kama gari lililokuwa kwenye mwendo wa kasi sana, haliwezi ksimama ghafla, laweza pata ajali, CCM ndiyo hivyo, imesha shika breki muda mrefu sana, bado kusimama tuuuuuuuuuu, Arumeru mashariki, sasa sasa hivi na Tz.....2015.
 
Wakristu si watu wa kuburuzwa kama walivyo ndugu zetu, kila mtu anatafakari independently. Ndio maana utaona CCM na CDM kote kuna wabunge wachungaji, kwani hawafuati chama. Waisilamu ni rahisi kuwaburuza kutokana na jinsi walivyo. Hata huku Bunda tunawaburuza sana
Kwa hilo nakuunga mkono mimi sina wasiwasi kabisa hata kama Nchemba angekesha kanisani wachungaji si wa rahisi kiasi hicho.
 
Hivi hapo udini upo wapi? labda niulize tafsiri ya udini ni nini?

Kumvua DC Kimario mtandio halafu BAKWATA kutoa maelekezo kwa Waislamu kuipigia kura CCM kwasababu CDM inadhalilisha Uislamu.
 
Wakristu si watu wa kuburuzwa kama walivyo ndugu zetu, kila mtu anatafakari independently. Ndio maana utaona CCM na CDM kote kuna wabunge wachungaji, kwani hawafuati chama. Waisilamu ni rahisi kuwaburuza kutokana na jinsi walivyo. Hata huku Bunda tunawaburuza sana

may b unamburuza babu yako.
 
Nape siku hizi anaanza kushtukia siasa za maji taka hiyo kazi kamwachia mwigulu nchemba,na yeye muda si mrefu atashtuka kuwa anaoga na vumbi kama kuku.
 
Chama Chenye Mizengwe ( CCM) as majority if notall Tanzanian citizens call it today, CCM is a dinosaur from the past. Using business asusual modal for Arumeru’s campaign will not help the Magamba for long run. CCM you're promising what youcan't fulfill to Arumeru Voters and you know that. You say what you don'tbelieve by yourself, CCM look, if you tell someone you're going to do something"Maisha bora @ Mtanganyika" do it, "CCM you have to live by yourWords". CCM you'll never continue deceiving (faking) people by preaching thosesweet politics words (fake promises) that you will never dream to fulfill. CCMyou know for sure that you don't have proper plans (budget) in a place to turnto for fulfilling you fate promises for Arumeru east Voters. CCM you aredrafting in the sea of panic without Captain or Map...and you using Dinosaurs from the past "Obsolete" ( cadreslike Mr. Wassira, Mr. Mkapa and Sendeka)outdated politicians. CCM nilikupendasana lakini Nimeamua kujiunga na Chama Chenye Mtizamo wa Ukombozi ( CHADEMA). CCM umenitesa sana kwa Kukutetea Madhambi yakonilipokuwa kwenye Vikao vyingi , sasa Nimehamua Kuchagua kilicho chema ilinisiendelee kuitesa nafsi yangu. Nimehamuakujiunga rasmi , kwa hali na mali nitakitumikia CHADEMA na Nitafuata na kutii taratibu zote za chamabila unafiki wowote, Mungu Nisaidie, Mungu kisaidie CHADEMA na Mungu IbarikiTanzania na watu wake. The Motto, CHADEMAand all Tanzanian let us not be desperate by CCM’sTBC media for sure the enemy is losingthe battle at Arumeru east . Let us unite for sure Arumeru east will be the corner stone of true TanganyikaRevolution .
" This is the message of today andwill be the message of tomorrow."

 
Back
Top Bottom