Jamani CCM Ni nani aliyewadanganya kwamba 9 x 0 = 90?
Jamani CCM Ni nani aliyewadanganya kwamba 9 x 0 = 90?
Fafanua ni wapi CCM ilipoingia choo cha kike, vinginevyo post itakuwa to general to discuss hivyo kuweza kuleteleza general conclusion. Nashauri uwe specific mkuu.