ccm na wakulima,chadema na wamachinga.

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
lazima chama tawala ccm kiendelee kushinda tena kwa ushindi wa kishindo kwa kuwa mbinu zake na sera zake zinalenga wakulima ambao ni zaidi ya 70% ya watanzania.naipongeza ccm kwa kuendelea kuwajali wakulima hata kama hawajafaidika kimaisha lakini wanaona mwanga bora wakiichagua ccm.cdm endeleeni kukumbatia wahuni,wafungwa na wapiga debe wa stand ambao hawafiki hata asilimia 5 ya wapiga kura.
 
Mkuu, kweli uliamua kuchagua ID ya Jingalao ukukosea..

ID yako inafanana na michango yako..
 
Jina lako limenifanya nishindwe kukujudge kwa kina! Ila sitakuwa nimetenda vema kama sitakufahamisha kuwa CCM ilikuwa na wakulima enzi za Nyerere lakini sasa iko na Wafanyabiashara na Wawekezaji kama hujui hilo basi hujasoma nyakati.
 
Jina lako limenifanya nishindwe kukujudge kwa kina! Ila sitakuwa nimetenda vema kama sitakufahamisha kuwa CCM ilikuwa na wakulima enzi za Nyerere lakini sasa iko na Wafanyabiashara na Wawekezaji kama hujui hilo basi jicho lako la tatu linahitlafu na utakuwa hujasoma nyakati.
 
When the English said Do not argue with a fool or else people mighty not notice the difference, were very correct.
Jina tuu linatosha achilia mbali pumba alizotoa. Kwanza CCM hawako pamoja na wakulima wao wamekumbatia mafisadi.
 
Jina lako limenifanya nishindwe kukujudge kwa kina! Ila sitakuwa nimetenda vema kama sitakufahamisha kuwa CCM ilikuwa na wakulima enzi za Nyerere lakini sasa iko na Wafanyabiashara na Wawekezaji kama hujui hilo basi hujasoma nyakati.

unasemaje kuhusu sera ya kilimo kwanza.vipi kuhusu kutenganisha siasa na biashara?ccm is on the right track na inajua wengi wanataka nini.
 
When the English said Do not argue with a fool or else people mighty not notice the difference, were very correct.
Jina tuu linatosha achilia mbali pumba alizotoa. Kwanza CCM hawako pamoja na wakulima wao wamekumbatia mafisadi.

kwa hiyo chadema ndio wako na wakulima?
 
ccm inaonyesha kisera na kimatendo kuwa iko pamoja na wakulima.
 
Back
Top Bottom