Ccm na makamba, nao waandae waandae maandamano kupinga madhumuni ya maandamano yacdm

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
22,631
8,417
Nawaomba wana ccm wote wenye roho ngumu kama ya paka ni wakati muafaka sasa wahamasishe wanachama na wapenzi wao kwa lengo la kuipinga CDM TENA ASP.
Na mabango yaseme hivi;
1 Maisha MAZURI KWA RAHA ZETU.
2 UFISADI NI BLA BLA YA CDM
3 DOWANS WALIPWE HARAKA
HIVYO NDIVYO DEMOKRASIA ILIVYO
HIYO NDIO HABARI WANANGU
 
Waongeze hili: 4.TUNAFURAHIA MATOKEO YA KIDATA CHA NNE 2010 (watoto wa maskini kata wamepata fundisho)
5. FIELD PRACTICALS sio muhimu Vyuo vikuu
6. TUONDOE MWISHO WA UKOMO WA URAIS
7. SIO LAZIMA WATANZANIA WATUMIE SUKARI (hata uji wa ndimu unawafaa)
 
Hivyo hivyo mwanangu mpaka kieleweke.
 
Nawaomba wana ccm wote wenye roho ngumu kama ya paka ni wakati muafaka sasa wahamasishe wanachama na wapenzi wao kwa lengo la kuipinga CDM TENA ASP.
Na mabango yaseme hivi;
1 Maisha MAZURI KWA RAHA ZETU.
2 UFISADI NI BLA BLA YA CDM
3 DOWANS WALIPWE HARAKA
HIVYO NDIVYO DEMOKRASIA ILIVYO
HIYO NDIO HABARI WANANGU

CCM hawana haja ya kufanya hivyo,tukumbuke wahenga walisema Ukifukuzana na Kichaa alie chukua nguo zako na wewe utakua Kichaa!
 
Siku hiyo ndiyo itakuwa vita ya wenye kwa wenye....yaani nikutane na mjinga mjinga wamebeba mabango yanasome kama ulivyo andika hapo juu simwachi...
 
Hakuna mwenye ubavu huu. Ukweli ni kuwa wanachama wengi wa CCM hivi sasa hata t-shirt na kofia wanaogopa kuvaa hadharani hasa maeneo yaliyojaa vijana wa kijiweni! :A S 13:
 
5.Rushwa Polisi,mahakama,ardhi ni sera yetu kila mtu ale mahali pake pa kazi.
6.TRA wasibembeleze kodi kama mtu anataka kulipa au kuacha sawa tuu pesa tunayokusanya inatosha kununua mashangingi v8 na mafuta sh 2500 per litre.TRA kila siku mseme hakuna network!!!
7.Tunaendelea na vimiradi vyetu vidogo vidogo vya kuzalisha umeme ili ufisadi wetu uendelee sii lazima watanzania wote wapate nishati.
8.Kwa Sasa hata kodi ya mkaa tukusanye na gesi iwe juuu zaidi!!!

CCM OYEEE!!!!
 
Maisha bora kwa kila mtanzania yamewezekana, Ajira milioni 3 zimetengenezwa (waokota makopo tupu ya maji). Kigoma sasa kuwa dubai ya bongo
 
CCM hawana haja ya kufanya hivyo,tukumbuke wahenga walisema Ukifukuzana na Kichaa alie chukua nguo zako na wewe utakua Kichaa!

Wahenga walisema pia mwendawazimu sio lazima abebe kiroba cha mavi bali hata kwa kusema kuandika nk nk utamtambua.
 
Hata kama wangekuwa na nia ya kuandamana na kueleza 'mazuri' yao bado wasingeweza maana hata ruzuku ya CCM siku hizi ni dhoofu hali, pesa za kuwakusanya watu kutoka Misungwi, Kwimba, Magu na vijijini kwa kuwakodia magari ya kuwaleta na kuwarudisha, posho ya waandamanaji na nauli ili kuwafikia maelfu ya wale wa jana hawana!
 
9. Kuwa mabom yataendelea kulipuka, vifo vya wananchi vinatupunguzia shida
10. Rushwa ni sera kuntu ktk taifa
11. Ujinga ni chanzo cha maendereo
 
Back
Top Bottom