Kwa hiyo, kwa Mihula yote awe Raisi bila kushindanishwa na wenzie?Kama unaujua utamaduni wa CCM ni lazima walau Term moja ushindanishwe na wenzio na Term moja ndio upete. Kwa hiyo, kwa kuwa mama Term moja ameshapeta kwa mjibu wa Katiba, itabidi Term nyingine kama anataka kuendelea ashindanishwe na wenzie. Ikifanyika hivyo ndio itakuwa HAKI.Atachukuwa fomu ya kugombea peke yake kqma ilivyofqnyika kwa mwendazake ifanyike na kwa mama pia
Lkn haya ni maoni yako binafsi. Utamaduni wa ccm unasema ktk kipindi chake cha pili mgombea urais ataachiwa (hatashindana na wezake ndani ya chama).Kwa hiyo, kwa Mihula yote awe Raisi bila kushindanishwa na wenzie?Kama unaujua utamaduni wa CCM ni lazima walau Term moja ushindanishwe na wenzio na Term moja ndio upete. Kwa hiyo, kwa kuwa mama Term moja ameshapeta kwa mjibu wa Katiba, itabidi Term nyingine kama anataka kuendelea ashindanishwe na wenzie. Ikifanyika hivyo ndio itakuwa HAKI.
Hilo la kutochagulika liko wazi. Mtaani kwa utafiti hata wa mtoto mdogo atakupa jibu kuwa mama Viatu vinampwaya. Na hii sio mambo ya kusema eti Sukuma Gang ndio hawamtaki. Lakini wakati tukiangazia ukweli huo bado System inaweza kumchagua. Na mimi hapa naongea na System hiyo hiyo ili izingatie hayo maswali ninayojiuliza ili hata kama itasema "inamchagua" basi hata mjinga wa mwisho asiulize maswali kama haya.Mama hachaguliki
Tume fake ya uchaguzi itampitishaHilo la kutochagulika liko wazi. Mtaani kwa utafiti hata wa mtoto mdogo atakupa jibu kuwa mama Viatu vinampwaya. Na hii sio mambo ya kusema eti Sukuma Gang ndio hawamtaki. Lakini wakati tukiangazia ukweli huo bado System inaweza kumchagua. Na mimi hapa naongea na System hiyo hiyo ili izingatie hayo maswali ninayojiuliza ili hata kama itasema "inamchagua" basi hata mjinga wa mwisho asiulize maswali kama haya.
Atagombea subiri uoneJe akigombea CHONGOLA na wenzake watawaambia nini watanzania na wale wafanyakazi wa UHURU media?
Nakubaliana na wewe utamaduni unasema hivyo lakini ili itokee hivyo kwa Factor B, ni lazima Factor A iwe imetokea. Swali la kujiuliza Awamu ya kwanza ameshindanishwa na nani? Kama hajashindanishwa na mtu bali kapata tu kwa mjibu wa Katiba, ni muhimu ashindanishwe na wengine katika kipindi kijacho kama atataka kugombea kweli.Lkn haya ni maoni yako binafsi. Utamaduni wa ccm unasema ktk kipindi chake cha pili mgombea urais ataachiwa (hatashindana na wezake ndani ya chama).
Mama Samia ndiyo anaenda kipindi chake cha pili.
Na bibisi( BBC) wamemnukuu akisema Mungu pekee ndiye anaweza ifikapo 2025.Mama ndiye mwenyekiti
Hapa umejenga hoja. Hoja ijibiwe na wahusika.Kama itachukuliwa hivyo hivyo, naiona hatari moja mbeleni. Inaweza kuja kutokea tukawa na Makamu wa Raisi ambaye na yeye anatamani kuwa Raisi kamili akafanya mipango ili mwenzie aondoke kwa njia yoyote ile kwa kufahamu kuwa atapeta kwa miaka Kumi bila Upinzani wa kupitishwa ndani ya Chama.
Hiyo Kauli ndiyo inaleta Ukakasi. Ni Kwa nini asiseme moja Kwa moja kuwa nikiwa Hai nitagombea au Sitsgombea. Kauli hiyo ina mambo mawili Kwa Maoni yangu:Na bibisi( BBC) wamemnukuu akisema Mungu pekee ndiye anaweza ifikapo 2025.
Na hii Ni Hatari ya Dhahiri kabisa! Unajua hata Jana nimemshangaa sana Chongolo anajibu swali la Katiba kama Sio Katibu Mkuu wa Chama. Katibu Mkuu ndio Engine ya Chama. Huyu ndio mupika Maono ya Chama. Nilitarajia kifo cha Marehemu Magufuli na ile Constitutional Testing tuliyoipitia iwe imemfunza jambo kuwa Katiba inahitaji marekebisho. Hebu tuulizane tu: Ni dhahiri kama Katiba ingalikuwa inatoa nafasi ya uchaguzi baada ya kifo cha Magufuli Chama Kingalimpitisha mama awe mgombea Wao? Aseme tu wazi aache unafiki. Mpaka hapo haoni kuwa Katiba hiyo, inawapa nafasi ya kiti cha Uraisi kurithiwa na mtu wasiyemtaka au asiyekuwa na uwezo wa kutosha kushika hiyo nafasi?Hapa umejenga hoja. Hoja ijibiwe na wahusika.
Hili nalo neno! Hivi ni kwa nini mama amekabidhiwa Uenyekiti mapema kuliko hata Mwinyi ambaye alimtangulia kushika Uraisi? Na kama wanasubiria mwakani ndo wampe hiyo Nafasi, ni kwa nini mama naye asingalisubiria mpaka Mwakani. Kuna haja ya kutolichukulia jambo hili juujuu tu.NAWAONA DEEP STATE WAKIMUANDAA MAMA KISAIKOLOJIA KUPITIA GAZETI LA UHURU!!!!MAMA KAPANIKI SANA HAJUI ANACHEZA NA NANI!!ANAMTUMA KIDAGAA SHAKA ABWEKE KAMA MBWA MBELE YA CHATU!!!!!!!!DR. HUSSEN MWINYI ANAKUBALIKA SANA NA JESHI HATA NA WENYE CHAMA NDIO CHAGUO 2025 LA CHAMA!!!NASHANGAA HAJAPEWA UENYEKITI WA CHAMA ZANZIBAR!!!NAMUONA SHEIN AKIWA TEAM SAMIA HAPO 2025!!!!KAMA MAMA ATAZINGULIWA KUPEWA KIJITI ATAMWAGA MBOGA NA UGALI!!!!UPINZANI MAKINIKENI MNA NAFASI HAPO 2025!! MTIFUANO WA NDANI UTAWAPA UPINZANI NGUVU YA KUCHUKUA KITI!!!!!!NAOMBA UZIMA TUONE MAMBO!!!!
Kuepusha haya ni mpk hapo katiba, kanuni na taratibu za chama zitakapobadilika.Kama itachukuliwa hivyo hivyo, naiona hatari moja mbeleni. Inaweza kuja kutokea tukawa na Makamu wa Raisi ambaye na yeye anatamani kuwa Raisi kamili akafanya mipango ili mwenzie aondoke kwa njia yoyote ile kwa kufahamu kuwa atapeta kwa miaka Kumi bila Upinzani wa kupitishwa ndani ya Chama.
Mzee upo?Kwa hiyo,Mwenyekiti yeye yuko juu ya Chama? Wengine waliomtangulia kugombea kwa kuchuana na wenzao,kwa wakati huo Chama hakikuwa na Mwenyekiti?
Halafu mambo ya Nchi hii Bwana! Ndio maana watu wengine wanaamua tu kujikalia kimya. Ukisema unapambana ndio matokeo kama ya akina Mbowe kutuhumiwa Magaidi na kuacha Familia. Nasikia mama hataki kabisa kuambiwa hana uwezo wa kuongoza. Na nimeona Statement yake moja hivi inayohusiana na Suala hilo.Kuepusha haya ni mpk hapo katiba, kanuni na taratibu za chama zitakapobadilika.
Lkn ni nani wa kubadilosha? Kumbuka chama Kiko mikononi mwa mama mwenyewe. Je, yuko tayari kukinoa kisu ili kimkate mwenyewe??
Zilikuwa mbinu za ChakubangaHili nalo neno! Hivi ni kwa nini mama amekabidhiwa Uenyekiti mapema kuliko hata Mwinyi ambaye alimtangulia kushika Uraisi? Na kama wanasubiria mwakani ndo wampe hiyo Nafasi, ni kwa nini mama naye asingalisubiria mpaka Mwakani. Kuna haja ya kutolichukulia jambo hili juujuu tu.