CCM mlipanda chati na heshima kwa Hayati Magufuli sasa mnaenda kugawana mbao na Watanzania

Kwa katiba na tume hii ccm haina wasiwasi hata kama wananchi watajinyonga kwa hasira za kumchukia rais na serikali yake.
 
Hata KANU,ZPP,vilikuwa vikubwa na tishio barani Africa
Vilikuwa haviko organised kama CCM. Pamoja na mapungufu yake bado CCM ni mfano wa chama bora chenye mizizi kuanzia ngazi ya chini sana. Kanisa Katoliki na CCM ndo taasisi zenye mifumo imara zaidi hapa nchini. Na hata CCM kikiwa nje ya uongozi kitaendelea kuwa chama tawala huku CHADEMA kikiendelea kuwa chama cha upinzani huku kikiwa madarakani.
 
Nikwambie tu CCM wepesi sana,tatizo watanzania ni waoga kwa asili yao
Hakuna cha CCM organised wala nini
 
Sio hivyo unavyofikiri. Hakuna mwenyekiti wa CCM aliyewahi kupitisha mgombea wake wa Urais kibabe kama ilivyo CHADEMA na Mbowe. Hii ni kwasababu CCM inaheshimu sana katiba yake. Ogopa chama kinachoheshimu katiba yake.
 
Ccm inaheshimu katiba yake? Uchaguzi uliopita unaeleza otherwise.
Niletee huyu niletee yule chama kikageuka kwaya ya mapambio. Pathetic
 
CCM enzi za Jakaya Kikwete kuvaa sare za chama ilikuwa fedheha sana.

Chuma, Hayati Magufuli aliposhika kijiti chama kilipata Imani a heshima kubwa sana toka kwa wananchi,sasa awamu ya sita ya Samia imeamua kwa makusudi kuturejesha kulekule kwa kuvalia jezi za CCM mkutanoni ,kisha baada ya mikutano kuzivua

Mmezoea kushinda kwa hila,safari hii hapatatosha,ujasiri mkubwa kwa wananchi umeongezeka dhidi ya kupambana na dhulma na uonevu

Yangu ni hayo
Magufuli 2015 alipata kura chache kuliko Mgombea yoyote wa CCM aliipa chati gani?
 
Ccm haikuwahi kupata heshima wakati wa dhalimu, bali alitumia madaraka yake kuumiza wakosoaji, hiyo ikapelekea watu kuwa na hofu dhidi ya CCM. Kama ingekuwa ilipanda chat dhalimu asingepora chaguzi za nchi hii.
 
CCM enzi za Jakaya Kikwete kuvaa sare za chama ilikuwa fedheha sana.

Chuma, Hayati Magufuli aliposhika kijiti chama kilipata Imani a heshima kubwa sana toka kwa wananchi,sasa awamu ya sita ya Samia imeamua kwa makusudi kuturejesha kulekule kwa kuvalia jezi za CCM mkutanoni ,kisha baada ya mikutano kuzivua

Mmezoea kushinda kwa hila,safari hii hapatatosha,ujasiri mkubwa kwa wananchi umeongezeka dhidi ya kupambana na dhulma na uonevu

Yangu ni hayo
Ni aibu tupu
 
Hakuna kugawana mbao CCM ni chama kikubwa!
Acha kumsifia magufuli ndiye worst President this country has never had na tusiombe Mungu kupata dicteta,asiejali haki za watu wengine za kuishi ili matakwa yake yakamilike tafathali toa mfano mwengine lakini si magufuli.
Wewe ndo uansema hayo ila ukweli una baki baki pale pale kuwa Magufuli alikuwa anapendwa na watanzania wengi
 
Magufuli 2015 alipata kura chache kuliko Mgombea yoyote wa CCM aliipa chati gani?
Umesoma makala yangu,umeshindwa elewa,matokeo yake umekurupuka kujibu,hili ndio tatizo kuu kwenye hii nchi,mikurupuko
 
Wengi wao ni watu waliokata tamaa wanaotegemea huruma ya watawala huenda watabadirika ili na wao wafaidi, sasa wapo stage 1 ya kukataa tamaa na wako karibu kwenda stage 2 ya kukata tamaa Hawa huasi kwa muda mfupi nao huwa hawareshwi nyuma Tena. Dalili zinaonyesha wazi Nini kitatokea siku si nyingi mbele.
Kuwa na wanachama wa aina mbalimbali
 
Back
Top Bottom