Ccm mlikua wapi kufanya maandamano wakati rasilimali zinahujumiwa na wabunge wenu?

satellite

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
616
164
Kauri ya mbunge wa Arumeru mashariki imewafanya CCM wafufuke km vile walikua kwenye mapango,kuna kashfa nyingi na tuhuma nyingi zinawakabili mawaziri wao na bunge lilifikia hadi hatua ya kupiga kura ya kutokua na imani na waziri mkuu kwa kushindwa kuwawajibisha mawaziri,swali najiuliza mbona walikua kimya kufanya maandamano na kuwakemea waharibu?leo wanajifanya kauli ya mbunge wa CDM inawauma na kufanya maandamano yasiyo na tija.CCM achane unafiki muwe fair kwa kila tukio mnaingia mitaani sio chadema wakikosea ndo mnaingia mitaani
 
mimi nafikiri matusi makubwa ambayo wanaweza kujinasibu nayo na kuandamana ni haya ambayo serikali yao inatutukana wananchi kwa kushindwa kutimiza yale waliyotu ahidi,,, pamoja na mammbo mengine kama ufisadi na kukosekana uwajibikaji serikali,.... wakimaliza hapo tutawapa ruhusa ya kuandamana kwa mambo ya wapinzani... kinyume na hapo wakae kimya kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..... kuna tatizoooooooooo?
 
yaani nimeona walikuwa kama 50 eti wanasema maandamano ya kulaani kauli ya nassari
 
Nimeyaona magamba yalivyokuwa yanafuka moshi, ama kweli washakuwa wapinzani, wanakuwa wanasubili pa kupenyea na kuongelea toka chadema.
 
Kwani bado sisiem inawanachama wakuiwezesha kufanya maandamano?au nimaandamano yaviongozi!sisiem imebaki naviongozi tu!kudadadeeeeeeeeeeeeeeeeki
 
Back
Top Bottom