CCM kunyakua vijiji vyote nane Iramba Mashariki

Juliana Shonza

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
2,009
1,607
Hatimaye ccm leo tumehitimisha kampeni kwa bashasha kubwa na mapokezi ya hali ya juu katika kata ya mgongo kijiji cha kisonga shelui baada yakuzunguka katika vijiji vyote nane tulivyosimamisha wagombea.

Ni wazi kwamba tunaenda kushinda kwa kishindo katika vijiji vyote nane,kama kuna chama kimesimamisha nao wagombea basi wajiandae kuvuna aibu na kama wanabisha tukutane tena hapa hapa kesho tupeane tathmini.

Hakika Naibu katibu mkuu Mwigulu Nchemba wewe ni kipenzi cha wana Iramba wanakupenda na wanakuhitaji.

VIVA CCM!
 
Duh, haya bwana, tusubiri matokeo! All the best kwa wagombea, mnatakiwa kufaham kuwa kuna kushinda na kushindwa, na mshindi ni mmoja tu!
 
Chezeya CCM weye.
Tumisha chakachua Ha ha ha ha!!
J Shoza anafahamu.
 
Hatimaye ccm leo tumehitimisha kampeni kwa bashasha kubwa na mapokezi ya hali ya juu katika kata ya mgongo kijiji cha kisonga shelui baada yakuzunguka katika vijiji vyote nane tulivyosimamisha wagombea.
Ni wazi kwamba tunaenda kushinda kwa kishindo katika vijiji vyote nane,kama kuna chama kimesimamisha nao wagombea basi wajiandae kuvuna aibu na kama wanabisha tukutane tena hapa hapa kesho tupeane tathmini.
Hakika Naibu katibu mkuu Mwigulu Nchemba wewe ni kipenzi cha wana Iramba wanakupenda na wanakuhitaji.
VIVA CCM!

Juliana... PerDem unalipwa kwa PESA za SERIKALI au Zile Pesa za RUZUKU kwa CCM? Kwasababu Haufanyi kazi BURE wakati hauna kipato chochote cha kukuweka JIJINI DAR-ES-SALAAM...

Sasa; Hapo ni Nani anayefuja pesa za RUZUKU za CCM?? VIVA UFISADI!!
 
Juliana Shonza: from the liberation movement to the oppression movement. Mdada mrembo uliye kuwa na sifa kemkem za uanamapinduzi, ukiupinga ufisadi na kujipambanua kutaka mageuzi. Leo unasimama bila aibu kuusifia mpango wenu wa kuiba kura na kujitwalia madaraka ya dhambi? Leo unasimama bila aibu kusema wale uliokuwa unawaita mafisadi na wanyonyaji wa uchumi na raslimali za watanzania kwamba ni majembe? Utaushawishi vipi umma wa watanzania leo hii ili waamini kwamba wewe ni mzalendo na si mganga njaa?

Mshinde au msishinde, wala haitusaidii, kikubwa tunachoangalia ni je wananchi wapo tayari kwa ajili ya mabadiliko Kumbuka miaka miwili tu iliyopita, hivyo vijiji havikuwa na mgombea wa CHADEMA, lakini leo wamesimamishwa wagombea katika vijiji saba, na wana uhakika wa kupata zaidi ya nusu ya kura zote zitakazopigwa. Kwanini usikubali kwamba hiyo ni hatua kubwa sana kwa CHADEMA?
 
Last edited by a moderator:
Aksante Binti!! CCM kushinda nafasi yeyote sio ishu kwa kuwa ni utaratibu waliojiwekea wananchi wenyewe kuipa ushindi CCM. Ni kama vile Baba kumchpa mwanawe sio habari ila Mtoto kumchapa Baba ni HaBARI
 
Leo umejifunza kuumba sentensi bila kuweka neno CDM?! Hongera...
 
Aksante Binti!! CCM kushinda nafasi yeyote sio ishu kwa kuwa ni utaratibu waliojiwekea wananchi wenyewe kuipa ushindi CCM. Ni kama vile Baba kumchpa mwanawe sio habari ila Mtoto kumchapa Baba ni HaBARI

huo utaratibu walijiwekea lini na wapi mkuu? Baba ni nani na mtoto ni nani hapo?
 
Aksante Binti!! CCM kushinda nafasi yeyote sio ishu kwa kuwa ni utaratibu waliojiwekea wananchi wenyewe kuipa ushindi CCM. Ni kama vile Baba kumchpa mwanawe sio habari ila Mtoto kumchapa Baba ni HaBARI

Kwani huyu Juliana naye ni katibu mwenezi kama Nape?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hatimaye ccm leo
tumehitimisha kampeni kwa bashasha kubwa na mapokezi ya hali ya juu
katika kata ya mgongo kijiji cha kisonga shelui baada yakuzunguka katika
vijiji vyote nane tulivyosimamisha wagombea.
Ni wazi kwamba tunaenda kushinda kwa kishindo katika vijiji vyote
nane,kama kuna chama kimesimamisha nao wagombea basi wajiandae kuvuna
aibu na kama wanabisha tukutane tena hapa hapa kesho tupeane tathmini.
Hakika Naibu katibu mkuu Mwigulu Nchemba wewe ni kipenzi cha wana Iramba
wanakupenda na wanakuhitaji.
VIVA CCM!
Kura zimeshajazwa kwenye masanduku?
 
juliana kampeni zako za zamani mbaya.. Siku izi watazania hawadanganyi kihivyo tena...
 
Tumeshagundua kuwa hakuna chama chenye ubaguzi kama ccm, mwigulu nchemba anazungumzia habari za unyiramba kwenye uchaguzi? Nimeamini huyu msomi kweli kaiba jina! Samahani dada vipi mwigulu ndo baba mtarajiwa wa mtoto?
 
Si nasikia mnagawa mipira nyie!?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ccm inafanya kampeni za wenyeviti wa vijiji siku hizi tena na N/K Mkuu oooh shit...my party
 
Safi sana sio mbaya yote ni mema kwa sababu huo ni uchaguzi,lakini angalia watakuja kukuporomoshea matusi humu ndani Mkuu!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom