Mti majungu
Member
- May 19, 2015
- 56
- 79
Kwenye website ya ccm wametoa tangazo la kuongea na waandishi kesho.
source;mwananchi online
source;mwananchi online
Kwani Lowasa katoa tuhuma gani zaidi ya kujiuma uma?watafanya kosa kubwa sana kama watajibu tuhuma za Lowasa
mikutano ya nini tena wakati walishamaliza chimwaga
Nitawaona mazuzu kama wataongelea anything kuhusu haya yaliotokea leo.
Hahahahahahahahahahhh
Ile picha ya ccm ikijikaanga kwa mafuta yake yenyewe iko wapi wakuu!!! Naona walidhani wanaweza kuyazuia mafuriko mwa Mikono kumbe wametegesha chekecheo..!!!
Haya sasa mzee kafunga Gufuri na Funguo kazitupa baharini... Wanaandamana..!!
BACK TANGANYIKA
Hapo mtamsikia NAPE MWANDOSYA atakavyofungua domo kama karai
Mimi naomba sana viongozi wangu wa Ccm msiwe na mioyo migumu,jaribuni kuona ni jinsi gani tutakabiliana na changamoto hii maana siyo ya kubeza,lolote laweza tokea maana mawazo yetu siyo mawazo yao.