CCM kama UKIMWI, hakuna kinga wala tiba

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
Nipo hapa Ludewa Kijiji Cha Mlangali, watu wanafuatilia Bunge katika kilabu cha pombe watu ni wengi wanatoa maoni yao kuwa sasa CCM inabanwa sana Bungeni Mpaka mwenyekiti anatoa matusi ambayo hata teja hawezi kuyasema wanasema ikiwa kiongozi wa CCM anatoa kauli ile basi CCM haina Kinga Wala Tiba kujiepusha kushindwa uchaguzi wa mwaka 2015. Wanasema kwa jinsi wanavyobanwa ndiyo wanaonesha hali halisi walivyo kama matusi uwongo na ubinfsi.

Wengi wanasema Bora Mbunge wao DEO FILINKUNJOMBE Ajiunge na vyama vya Upinzani kuliko kuendelea kuwa CCM kwani kuendelea kuwa huko atakipata kama alichokipata Mh. Kolimba aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo mpaka mauti yalipomfika
 
Sikio la kufa. Hata ukiwatwanga kwenye kinu hawatakaa waelewe kitu.
 
Therethere mkuu!Tuepukane na ccm tule dili na wanawake kwani wao kanga,fulana na kofia zinawachanganya sana.Tujiandae!!
 
Sikio la kufa. Hata ukiwatwanga kwenye kinu hawatakaa waelewe kitu.

ni vyema CCM ifanye utafiti ni wabunge wepi wanawapa uhai CCM wakiwa bungeni na ni kwanini? ili kuboresha chama chao vinginevyo CCM inaweza kufikiria inajenga chama kwa kauli za wabunge wao kumbe zinabomoa kwa kasi, wabunge kama DEO, MPINA, na wengine wenye mtazamo wa tofauti kidogo wa kichama ndiyo wamshikilia imani ndogo ya wananchi waliyonayo kuhusu CCM
 
Therethere mkuu!Tuepukane na ccm tule dili na wanawake kwani wao kanga,fulana na kofia zinawachanganya sana.Tujiandae!!
Safari hii naona watakuwa wamekoma maana inflation 21% imewasababishia mlo mmoja in comparison to kanga na kofia wanauhakika kuwa wameliwa. So hata wao 2015 lazima waikomeshe CCM.
 
Mheshimiwa Nashukuru sana kwa mada yako nzuri ila kwa sasa hivi wajue "KUIPENDA CCM NI SAWA NA KULALA NA MWANAMKE MWENYE UKIMWI WAKATI UNAJUA BILA KUVAA KONDOM"
CCM ni ya kuogopwa kama ukoma ni sawa na kula nyama ya ngombe mwenye "Kimeta "
 
Back
Top Bottom