MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,194
Hima Hima wana CCM sasa ni wakati wa kuwa wagumu ili chama kibadilike muonekano wake miongoni mwa wanajamii. Kuzorota kwa CCM ni anguko la wazee, vijana na watoto wenye utashi na upendo wa dhati kwa Tanzania.
Nawashangaa wana CCM wenzangu wa mkoa wa Mtwara kubadilika na upepo wa msimu ambao mbeleni MTAJUTA, CHADEMA inataka kuwatumia ili waweze kutimiza kura TU.
Chonde chonde Wamakua, Wayao, Wamakonde na Wamwera kwa nini mnatutesa nyie ni CCM damu damu tangu enzi za TANU mliitikia vyema sera za Ujamaa na Kujitegemea, mkawa mfano wa VIJIJI VYA UJAMAA, leo hii Dr. Slaa & CO mnawapa nafasi hadi vijijini kwenu kufungua matawi.
Mkuchika, Ghasia, Mama Kasembe, Murji, Mkapa wa Nanyumbu, Njwayo na Bwanausi fanyeni KIKAO CHA DHARULA tuepuke FEDHEHA ya leo CHADEMA kuingia hadi maeneo ya jikoni!!!!