CCM jamani!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Karabatini jengo la makao makuu yenu! Ni aibu jamani mafisadi wote mlio nao mbashindwa nini? Wekeni thamani mpya basi walau itoe reflection ya miaka 35 ya Kuwepo kwenu. Acheni kutoa mapovu
 
Karabatini jengo la makao makuu yenu! Ni aibu jamani mafisadi wote mlio nao mbashindwa nini? Wekeni thamani mpya basi walau itoe reflection ya miaka 35 ya Kuwepo kwenu. Acheni kutoa mapovu

Mkuu unakumbuka kuwa lilijemngwa kwa sisi watumishi kukatwa mishahara kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu sasa kwenye kipindi hiki haiwezekani !
 
hawana time ...wanakula bata tu
381754_320251947996225_100000342668655_1118411_1602092224_n.jpg
 
Kwa sasa sijui kama wataweza, kila mmoja anajitahidi kuvuna anavyoweza, labda wasingewakasirisha mapacha wa3 wangeweza hata kulitia rangi
 
Karabatini jengo la makao makuu yenu! Ni aibu jamani mafisadi wote mlio nao mbashindwa nini? Wekeni thamani mpya basi walau itoe reflection ya miaka 35 ya Kuwepo kwenu. Acheni kutoa mapovu
Wanadai hapo ni mahali pa mikakati tu, ila muda mwingi wanakuwa kwa wananchi kutatua matatizo. hivyo ni mpaka matatizo ya wananchi yatakapoisha " i.e. Kisima kikikauka " watarudi kuweka mikakati ya kukarabati - lol.
 
jengo la ccm singida ni mazalia ya paka mwitu na mapopo;
arusha ni kama choo cha stend.
manyara limepigwa x sijui watahamia wapi?
dodoma ccm wilaya naona wanapiga vibanda vya biashara ila naaaona ni mradi wa fisadi flani hivi.
 
Hawa magamba si ndio wanapenda sana kutema mapovu humu kuhusu ofisi za CDM? Kweli nyani haoni masaburi yake, tena kwa hili ya Magamba makubwa kama ya tembo.
 
Back
Top Bottom