CCM inaligawa taifa, Polepole anazunguka nchi nzima anafanya mikutano anatisha watumishi wa umma, wapinzani ni marufuku

Huo ndio ukweli mtupu. Polepole amekuwa kinyago!
IMG-20180203-WA0033.jpg
 
Huu ubaguzi wa kichama unalipeleka taifa kubaya sana na cha ajabu aliyekuwa anakea ubaguzi huu wakati wa katiba mpya ndio mpiga kampeni za ubaguzi kwa maslai ya chama chake.

Agenda za ziara ya polepole nchi nzima na agenda ya ccm kuelekea 2020.

1. Kuhakikisha madiwani wote hasa wa chadema wanaenda ccm na wenyeviti wa mitaa.

2. Watakao goma hakuna kupelea fedha za maendeleo katika kata na mitaa.

3. Hakuna ruhusa ya wapinzani kufanya mikutano, maandamano ya kisiasa japokuwa ninkunyume cha sheria na katiba.

4. Warumishi wa umma ambao hawana kadi ya ccm waondoleww kwenye nyadhifa zao au wajiunge na ccm

5. Polisi kuhakikisha wanawadhibiti wapinzani kwa njia yoyote ile na kuhaidiwa kukumbukwa

6. Kuongeza nguvu kwa uvccm na green guard kulinda chama na watakao kaidi wafanywe chochote na polisi na tiss watafuta ushahidi

7. Wafanyabiashara na matajiri kubanwa hasa na TRA kama uko upinzani mpka utakaporudi ccm

8. Watumishi wote lazima wasikilize viongozi wa ccm wanachosema ndio wafuate na sio vonginevyo. Inamaana hapa sio sheria na taratibu bali maamuzi ya kiongozi wa ccm wale vilaza bdio wanapanga nini kifanyike

9. Majimbo ya upinzani hakuna kupeleka bajeti ya maendeleo na kuhakikisha yanarudi ccm mwaka 2020 hilo ni agizo kwa DED wote.

10. Tume ya uchaguzi kuhakikisha wasimamizi wa ichaguzi ni watu kutoka ccm pekee.

11. Ccm kwanza wananchi baadae.

Hii ndio ccm mpya ya magufuli

Source: ziara ya polepole nyanda za juu kusini
Takataka tu hii
 
Nyie mbulula kwa nn msiende mahakamani, chadema kimekuwa chama cha kulalamika siku hizi baada ya kutafakari hatua za kuchukua .poor chadema,poor mashinji,poor mbowe
Wew unaweza ukawa mburura koz katazo la mikutano ya kisiasa halipo kisheria ni udikteta wa kidola tu,amiri jesh wa mapolisi amedictate so kwenda mahakamani kufanya nin?
 
Mburula wew na Familia yako mtu mwenye akili timamu unaanzaje kushabikia huu ufuska??????
 
Kwenye mchezo Wa draft kuna wakati kila kete utakayocheza unaliwa. Wapumbavu wanazidi kupungua iko siku CCM itakosa kete ya kusongeza bila kuliwa.
 
Sina uhakika wa yaliyomo hapo juu but i sense political radicalism with this Polepole Guy, Ideological radicalism, this kind of individuals are like an unmanifested fatal malignancy in the governance of any nation.

People will agonize in a great deal of pain if these individuals get a position that gives them to excercise decisions that affects the nation.
 
Ikifika wakati wa kuvuna hiki wanachopanda wasije kutàfuta mchawi kwani tunaweka kumbukumbu nzuri kwa kila wanachofanya,
 
Nyie mbulula kwa nn msiende mahakamani, chadema kimekuwa chama cha kulalamika siku hizi baada ya kutafakari hatua za kuchukua .poor chadema,poor mashinji,poor mbowe

Mahakama IPI,ya maagizo kutoka juu.. ile iliyomhukumu Sugu miezi mitano jela. ??? Hujui hata mahakama inatekeleza ilani ya ccm au mahakimu sio watumishi wa uma. Dawa yenu 26/4 hakuna mbadala tena
 
Huu ubaguzi wa kichama unalipeleka taifa kubaya sana na cha ajabu aliyekuwa anakea ubaguzi huu wakati wa katiba mpya ndio mpiga kampeni za ubaguzi kwa maslai ya chama chake.

Agenda za ziara ya polepole nchi nzima na agenda ya ccm kuelekea 2020.

1. Kuhakikisha madiwani wote hasa wa chadema wanaenda ccm na wenyeviti wa mitaa.

2. Watakao goma hakuna kupelea fedha za maendeleo katika kata na mitaa.

3. Hakuna ruhusa ya wapinzani kufanya mikutano, maandamano ya kisiasa japokuwa ninkunyume cha sheria na katiba.

4. Warumishi wa umma ambao hawana kadi ya ccm waondoleww kwenye nyadhifa zao au wajiunge na ccm

5. Polisi kuhakikisha wanawadhibiti wapinzani kwa njia yoyote ile na kuhaidiwa kukumbukwa

6. Kuongeza nguvu kwa uvccm na green guard kulinda chama na watakao kaidi wafanywe chochote na polisi na tiss watafuta ushahidi

7. Wafanyabiashara na matajiri kubanwa hasa na TRA kama uko upinzani mpka utakaporudi ccm

8. Watumishi wote lazima wasikilize viongozi wa ccm wanachosema ndio wafuate na sio vonginevyo. Inamaana hapa sio sheria na taratibu bali maamuzi ya kiongozi wa ccm wale vilaza bdio wanapanga nini kifanyike

9. Majimbo ya upinzani hakuna kupeleka bajeti ya maendeleo na kuhakikisha yanarudi ccm mwaka 2020 hilo ni agizo kwa DED wote.

10. Tume ya uchaguzi kuhakikisha wasimamizi wa ichaguzi ni watu kutoka ccm pekee.

11. Ccm kwanza wananchi baadae.

Hii ndio ccm mpya ya magufuli

Source: ziara ya polepole nyanda za juu kusini
Haya uliyoorodhesha mbona ni maneno tu,una ushahidi gani kuonyesha kwamba yamesemwa na pole pole?au ni hisia tu,
Serikali inaipendelea na kuibeba sana CCM,lakini na nyinyi wapinzani,mbona mambo madogo hamutekelezi,nani kati yenu ametangaza Mali na madeni yake hadharani,kama sheria inavyotaka?
 
Nyie mbulula kwa nn msiende mahakamani, chadema kimekuwa chama cha kulalamika siku hizi baada ya kutafakari hatua za kuchukua .poor chadema,poor mashinji,poor mbowe
Maakma haita saidia chochote. Dwa na kutumia nguvu sasa
 
...huyu fala anayegawa Taifa kwanini msimpige nawe huko anakopita akidanganya umma????watu namna mnapiga mawe...
 
Hizo si siasa tena. Akiachiwa afanye hivyo na kutimiza azima yake, nchi hii si Tanzania tena tunayojua.
 
Hata Tunisia walianza hivi hivi..wananchi sio wajinga wanaona uonevu wote huu.siku wakiamka hakuna atakaeweza kuuzima moto wake. Wadhulumati wote watakosa pa kukimbilia..tufanye siasa za kistaarabu
 
Mahakama zao ni social networks, Jaji mkuu ni kimambi,mawakili ni wafuasi wao na Hukumu ni maandamano na matusi ya kwenye social networks.
Tena yakifanikiwa jiandaeni kukimbia nchi mambulula nyie
 
CHAGADEMA wanamtindio was Ubongo
Rejea historia ya Tanganyika mwaka 1950 Western Province ilikua na shule ngapi halafu ulinganishe na Northen Province utapata jibu kwa nini kijiji unachotoka mlizalisha labour force ya kutosha
 
Back
Top Bottom