CCM imeshindwa kabisa kukomesha rushwa ndani ya chama na serikalini

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Licha ya Serikali kuwa chombo kinachoitwaTAKUKURU lakini imeshindwa kabisa kukomesha gonjwa rushwa mpaka ndani ya chama tawala CCM

Kwa uchunguzi wa haraka haraka ni sahihi kusema ndani ya CCM huchaguliwi bila kutoa rushwa kwa wajumbe na huu utaratibu ni kama upo sahihi kwani hata wanapobainika kutoa rushwa na kushinda uchaguzi hakuna hatua za kisheria zinazochukuliwa.

Chaguzi zote za CCM zinazoendelea zimegubikwa na utoaji mkubwa wa rushwa kwa wajumbe na serikali kupitia TAKUKURU ipo kimya, jambo ambalo ni hatari kuwa na viongozi waliyonunua uongozi kwa rushwa. Viongozi hao itawawia vigumu sana Kukemea rushwa katika utendaji wao.

Rushwa ndani ya CCM ni kawaida sana.
 
Licha ya Serikali kuwa CHOMBO kinachoitwa TAKUKURU Lakini IMESHINDWA Kabisa KUKOMESHA GONJWA RUSHWA mpaka ndani ya CHAMA TAWALA CCM
Kwa Uchunguzi wa Haraka haraka ni Sahihi kusema NDANI ya CCM huchaguliwi bila KUTOA RUSHWA kwa WAJUMBE na huu Utaratibu ni kama Upo Sahihi kwani Hata wanapobainika KUTOA RUSHWA na KUSHINDA Uchaguzi hakuna HATUA za Kisheria zinazochukuliwa.CHAGUZI ZOTE za CCM ZINAZOENDELEA zimegubikwa na UTOAJI MKUBWA wa RUSHWA kwa WAJUMBE na SERIKALI kupitia TAKUKURU Ipo KIMYA jambo ambalo ni HATARI kuwa na VIONGOZI walionunua UONGOZI kwa RUSHWA. Viongozi hao itawawia VIGUMU SANA Kukemea RUSHWA katika UTENDAJI WAO.
Rushwa ndani ya CCM ni KAWAIDA SANA.
Ni aibu kubwa
 
Licha ya Serikali kuwa chombo kinachoitwaTAKUKURU lakini imeshindwa kabisa kukomesha gonjwa rushwa mpaka ndani ya chama tawala CCM

Kwa uchunguzi wa haraka haraka ni sahihi kusema ndani ya CCM huchaguliwi bila kutoa rushwa kwa wajumbe na huu utaratibu ni kama upo sahihi kwani hata wanapobainika kutoa rushwa na kushinda uchaguzi hakuna hatua za kisheria zinazochukuliwa.

Chaguzi zote za CCM zinazoendelea zimegubikwa na utoaji mkubwa wa rushwa kwa wajumbe na serikali kupitia TAKUKURU ipo kimya, jambo ambalo ni hatari kuwa na viongozi waliyonunua uongozi kwa rushwa. Viongozi hao itawawia vigumu sana Kukemea rushwa katika utendaji wao.

Rushwa ndani ya CCM ni kawaida sana.
Matawi, kiwiliwili na mizizi yake ni zao la rushwa watakomeshaje kwa mfano?
 
Licha ya Serikali kuwa chombo kinachoitwaTAKUKURU lakini imeshindwa kabisa kukomesha gonjwa rushwa mpaka ndani ya chama tawala CCM

Kwa uchunguzi wa haraka haraka ni sahihi kusema ndani ya CCM huchaguliwi bila kutoa rushwa kwa wajumbe na huu utaratibu ni kama upo sahihi kwani hata wanapobainika kutoa rushwa na kushinda uchaguzi hakuna hatua za kisheria zinazochukuliwa.

Chaguzi zote za CCM zinazoendelea zimegubikwa na utoaji mkubwa wa rushwa kwa wajumbe na serikali kupitia TAKUKURU ipo kimya, jambo ambalo ni hatari kuwa na viongozi waliyonunua uongozi kwa rushwa. Viongozi hao itawawia vigumu sana Kukemea rushwa katika utendaji wao.

Rushwa ndani ya CCM ni kawaida sana.

Kama mtu anahonga ili apate madaraka, atatekeleza wajibu wake kwa kulazimisha hongo.

Tumekosea wapi?
 
Back
Top Bottom