Another novice critic's comment! So let's, as you wish, agree that JK is a throttlebottom, nebbish and a callow president and that CCM's manifesto has utterly flopped. If this is the case, did the opposition side delineate an alternative blueprint? I suppose instead of incessantly puling and misprizing whatever little the government has achieved, we must change our crippled mindset and be part of the change.
. Kumfunga Babu Seya bila sababu ya msingi.
. Kuwa na waziri mkuu asiye na maamuzi yoyote ndani ya nchi.
. Kuwa na maziwa na bahari lakini nchi haina mela hata moja.
. Kuwa na viwanja vya ndege na wafanyakazi 185 lkn nchi haina hata ndege moja.
. Kutaka kujenga reli kutoka Tanga mpaka Musoma wakati iliyopo imekwama!

Another novice critic's comment! So let's, as you wish, agree that JK is a throttlebottom, nebbish and a callow president and that CCM's manifesto has utterly flopped. If this is the case, did the opposition side delineate an alternative blueprint? I suppose instead of incessantly puling and misprizing whatever little the government has achieved, we must change our crippled mindset and be part of the change.

pengine sijui hasa maana ya maa

muzi magumu. Lakini mimi nadhani yafuatayo nayo ni maamuzi mag

umu ambayo ccm imeyachukua na kuna kila dalili ya kuendelea kuyachukua ambayo ni serikali chache sana duniani kama zipo ambazo zina weza kuchukua na wananchi wake wakaridhika na wasichukue hatua yoyote zaidi;

1.kumuacha/kumsaidia Jeetu patel aondoke nchini wakti anatuhumiwa kwa wizi mkubwa

2.kumpoteza balali katika mazingira ya kutatanisha sana baada ya kusema kweli kwamba yeye atsema kweli.

3. Kutotaja na kuwachukulia hatua wamiliki wa kagoda.

4. Kukiri hadharani kwamba wamiliki wa kagoda hawajulikani.

5.waziri wa ulinzi kuamua ktojiuzulu pamoja na mabomu yake kuleta maafa makubwa kwa wanachi mara mbili kwa uzembe wake.

6. Mweye kampuni ya ANBEN kutochukuliwa hatua yoyote

7.kukiri waziwazi kwamba hawamjui mwenye richmond.

9. Kutubutu kusema kwamba cdm ni wachochezi wakti dinia yote in juwa kwamba cdm ni wapigania haki wanao takiwa kuungwa mkono na kila mpenda haki.

10. Kumuomba seif shariff adanganye kwamba ameshindwa uchaguzi ilhali wao ccm ndio walio shindwa.

11.kutawla bila ridhaa ya kweli ya wananchi

12.kumtoa spika aliyependwa na bora sana kwa viwango vingi tu na kumweka kibaraka wao bila kuona haya.

13. Kumfukuaza kazi mkurugenzi bora kabisa katka viwango vyote kwasababu tu alitenda kazi yake kwa kadri ya taaluma yake. Hakuipendelea ccm.

Haya ni maamuzi magumu sana, nani anweza kuchukua maamuzi kama haya?

nawakilisha.

hiyo ndio ccm bwana kama ulikuwa huijui
Wananchi walifanya maamuzi rahisi ya kutokumchagua JK lakini JK akafanya maamuzi magumu ya kuiba/kuchakachua kura!

binafsi nazani wananchi tumefanya maamuzi magumu zaidi ya CCM, ya kukubali kikwete kuendelea kubaki ikulu.

Pima vizuri utagundua ata hayo maamuzi uliyotaja yamefanyika sababu tu ya maamuzi yetu magumu ya kuendelea kuichekea CCM.