CCM ilikoswa koswa kuondolewa madarakani mwaka 2015 kwa ajenda ya ufisadi, DP World itafanikisha

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,907
Architecs waliosababisha CCM karibu iondoke madarakani 2015 ndio hao hao walioleta DP World lengo hasa lao ni kuwa walishindwa kufikia malengo yao kung'oa CCM wameingia part 2 ya kubuni agenda ili wengi wachukie CCM na 2025 wananchi waiondoe.

Wafanya mapinduzi mafisadi huwa wako smart kupanga agenda za kung'oa chama tawala madarakani, mojawapo ni kutumia hela sana kuhakikisha wanaibua agenda zitazosababisha hasira za wananchi walio wengi ziwe juu mno mwisho wa siku watapigia kura upinzani.

Ieleweke kuwa 2015 hayo magenge yalipoteza pesa nyingi sana yana hasira na hazijapoa.

Sasa wako part 2 kuwaandaa wananchi kuwa na hasira za kufa mtu na CCM na serikali yake.

Serikali wameshaimudu na bunge walishalimudu likapitisha hicho cha hovyo na kwa asilimia fulani kubwa tayari lengo lao kwa wananchi wengi kuwapandisha hasira kuchukia Chama na serikali limefikiwa.

Hili suala sio dogo, liko framed kwa makusudi ya kuondoa CCM madarakani. Yale makundi ya Lowassa yaliyotaka kuchukua nchi 2015 yako active sana sasa hivi ndani ya CCM. Lengo lao ni moja, CCM 2025 lazima ifungashwe virago.
 
Kwahiyo wewe upo upande gani? Wa kutaka DPW isipewe bandari au ipewe? Wa kutaka CCM ifurushwe au isifurushwe?
Kupewa sina shida wapewe tu ila sio kwa mkataba mbovu kama huo ambao bunge lilipitisha hata waite.makubaliano kuwa sio mkataba waongo

Huwezi bunge likapitisha kitu kinaitwa makubaliano halafu mkataba ukaja na kipengele cha kukiuka makubaliano mabovu waliyopitisha bungeni

Kila mkataba lazima u bow down kwa makubaliano bunge limepitisha

Ni sawa na bunge lipitishe katiba halafu uambiwe ohh hayo makubaliano tu sheria zitakazotungwa ndizo zitazingatia vitu tofauti na katiba bunge limepitisha

Hili bunge hopeless kabisa kwenye issue ya DP world
 
YEHODAYA, huyu ni wewe kweli tunayekufahamu humu, au akaunti imehakiwa? AU hujalipwa? AU unawadai na sasa umeamua kuwa upande sahihi?
 
Kupewa sina shida wapewe tu ila sio kwa mkataba mbovu kama huo ambao bunge lilipitisha hata waite.makubaliano kuwa sio mkataba waongo

Huwezi bunge likapitisha kitu kinaitwa makubaliano halafu mkataba ukaja na kipengele cha kukiuka makubaliano mabovu waliyopitisha bungeni

Kila mkataba lazima u bow down kwa makubaliano bunge limepitisha

Ni sawa na bunge lipitishe katiba halafu uambiwe ohh hayo makubaliano tu sheria zitakazotungwa ndizo zitazingatia vitu tofauti na katiba bunge limepitisha

Hili bunge hopeless kabisa kwenye issue ya DP world
Umeongea vizuri wewe mccm, lkn kuna mwenzako huyu dalali FaizaFoxy kila siku kutetea ujinga hapa
 
Architecs waliosababisha CCM karibu iondoke madarakani 2015 ndio hao hao walioleta DP World lengo hasa lao ni kuwa walishindwa kufikia malengo yao kung'oa CCM wameingia part 2 ya kubuni agenda ili wengi wachukie CCM na 2025 wananchi waiondoe.

Wafanya mapinduzi mafisadi huwa wako smart kupanga agenda za kung'oa chama tawala madarakani, mojawapo ni kutumia hela sana kuhakikisha wanaibua agenda zitazosababisha hasira za wananchi walio wengi ziwe juu mno mwisho wa siku watapigia kura upinzani.

Ieleweke kuwa 2015 hayo magenge yalipoteza pesa nyingi sana yana hasira na hazijapoa.

Sasa wako part 2 kuwaandaa wananchi kuwa na hasira za kufa mtu na CCM na serikali yake.

Serikali wameshaimudu na bunge walishalimudu likapitisha hicho cha hovyo na kwa asilimia fulani kubwa tayari lengo lao kwa wananchi wengi kuwapandisha hasira kuchukia Chama na serikali limefikiwa.

Hili suala sio dogo, liko framed kwa makusudi ya kuondoa CCM madarakani. Yale makundi ya Lowassa yaliyotaka kuchukua nchi 2015 yako active sana sasa hivi ndani ya CCM. Lengo lao ni moja, CCM 2025 lazima ifungashwe virago.
Mtawachagua kina nani ? Hawa hapa au?
 
Back
Top Bottom