CCM haina kikao na watendaji waovu

Mgoyangi

Senior Member
Feb 6, 2008
184
9
Mgeja ambaye ni mwenyekiti wa ccm amesema chama hicho hakina ubia na watendaji wala rushwa na wabadhirifu.
'CCM haijawatuma watendaji wezi na wabadhilifu wala rushwa' anasema Mgeja muda huu akihutubia kijijini kagongwa wilayani Kahama
anasema kukihukumu chama hicho kwa madhambi ya aina hiyo siyo haki
anawataka wananchi kuwashughulikia vilivyo watendaji wa aina hiyo
 
Mgeja anaweza kusema chochote lakini ukweli unabakia pale pale kwamba mtaji wa CCM kwa hivi sasa ni wezi, majambazi wa kila aina, wauza unga na waporaji wa rasilimali za taifa.
 
Back
Top Bottom