CCM bado tupo imara!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ingawa tumebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Udiwani Arusha Jumapili iliyopita, bado CCM tupo imara. Ni wazi kuwa kuanzia uchaguzi mkuu wa 2010,hasa katika chaguzi ndogo mbalimbali,kura zetu zinaendelea kuserereka kuelekea chini pamoja na kushinda sehemu nyingi nchini kwa kipindi hicho.Bado tuna nafasi ya kujirekebisha.

Chaguzi hizi ndogo ni kama mechi za kisoka. Viongozi wetu (makocha wetu) wameshauona udhaifu unaojitokeza chamani na hata kwenye kampeni.Ni watu waonaji na wasikivu.Watafanya jambo. Watakirekebisha vyema chama kuelekea 2015. CCM yetu bado imara na iko tayari kwa uchaguzi wowote mahali popote. Yeyote atakayestahili adhabu ya kichama atapewa;wa kutunukiwa atatunukiwa.

Lakini,kama chama kikomavu,tunatambua kuimarika kwa chama kikuu cha upoinzani nchini CHADEMA SIKU HADI SIKU. Tunatambua kuwa siasa za nchi hizi naimarika na kunoga. Zinaelekea pazuri. Zitafikia mahali ambapo wapigakura watachagua maendeleo hasa. CCM tunajiandaa kwa hilo. Tunajiimarisha kwa siasa za kihoja za haja. Tupo tayari haswa!

CHADEMA,CUF,NCCR-Mageuzi,TLP na wengineo kaeni chonjo.CCM inaimarishwa na siasa za sasa za kidijitali. Bado tupo imara!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Dah mkuu katika watu wenye spirit ya CCM na wewe umo...

Ila safi sana maana siasa zako ni za kizalendo na kiukomavu sana......
 
natamani tu ccm isife. iwepo tu ili ipate kujifunza kutoka kwa wenzao wa CDM. alaf wafundisheni wale watoto (mtela, shonza, mwigulu) jinsi ya kuongea na watu wa rika mbalimbali. they are mannerless!!
 
Kwa sasa yetu yatabaki kuwa macho tu. Lakini ukweli wa kama CCM ni imara or not utajulikana mwaka 2015 baada ya uteuzi wa wagombea wa Urais na kura za maoni. Kwa hakika nina imani kubwa kwamba CCM inapotelea pale. Kabla hata ya kuingia kwenye uchaguzi, tayari tutakuwa tumeshaipoteza CCM huku CHADEMA ikipata mtaji mkubwa wa mawaziri na vigogo wa CCM walio safi ambao wataungana nayo katika kuiangusha CCM. Lets keep our fingers crossed.
 
Ingawa tumebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Udiwani Arusha Jumapili iliyopita, bado CCM tupo imara.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Nashukuru kwa kukiri kwamba mmebwagwa vibaya,
Nashukuru kwa kukiri pia kwamba kura zenu zinaendelea kuserereka kwenda chini.
Nashukuru kwa kukiri kwamba CHADEMA inaimarika kila siku.

Sina mengi zaidi ya kukushukuru kwa kuelewa hali halisi na kukubali kwamba maji yamewafika shingoni.

Ni HAYO tu ndugu yangu mwenye roho ya paka.
 
VUTA-NKUVUTE bana,
Mabandiko yako mengi huwa yanaendana na kubeba ujumbe wa signature yako hii,
Uongo huonekana na kuaminiwa haraka.Ukweli ndio mwisho wa yote!

is this guilt conscious or just preemptive camouflage ikikumbukwa kuwa ukiwa muongo usiwe msahaurifu.
 
Last edited by a moderator:
we Mzee Tupatupa msijipe moyo. kubalini kwamba CHADEMA imewapoteza mbaya hata mjipange vipi, CHADEMA tutaendelea kuwakimbiza.
 
Ingawa tumebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Udiwani Arusha Jumapili iliyopita, bado CCM tupo imara. Ni wazi kuwa kuanzia uchaguzi mkuu wa 2010,hasa katika chaguzi ndogo mbalimbali,kura zetu zinaendelea kuserereka kuelekea chini pamoja na kushinda sehemu nyingi nchini kwa kipindi hicho.Bado tuna nafasi ya kujirekebisha.

Chaguzi hizi ndogo ni kama mechi za kisoka. Viongozi wetu (makocha wetu) wameshauona udhaifu unaojitokeza chamani na hata kwenye kampeni.Ni watu waonaji na wasikivu.Watafanya jambo. Watakirekebisha vyema chama kuelekea 2015. CCM yetu bado imara na iko tayari kwa uchaguzi wowote mahali popote. Yeyote atakayestahili adhabu ya kichama atapewa;wa kutunukiwa atatunukiwa.

Lakini,kama chama kikomavu,tunatambua kuimarika kwa chama kikuu cha upoinzani nchini CHADEMA SIKU HADI SIKU. Tunatambua kuwa siasa za nchi hizi naimarika na kunoga. Zinaelekea pazuri. Zitafikia mahali ambapo wapigakura watachagua maendeleo hasa. CCM tunajiandaa kwa hilo. Tunajiimarisha kwa siasa za kihoja za haja. Tupo tayari haswa!

CHADEMA,CUF,NCCR-Mageuzi,TLP na wengineo kaeni chonjo.CCM inaimarishwa na siasa za sasa za kidijitali. Bado tupo imara!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Heshima yako mzee Tupatupa. One advice, Anzisha Political consulting firm. Uko very fair on all sides. Nakumbuka ulivyogoma kwenda Arusha kampeni zilivyoanza. You knew what will happen. Utakuwa msaada mkubwa sana kwa kila mtu hasa Mwigulu, Mtela, na Shonza.

Kama unavyojua siasa zisizo za maji-taka ni chanzo kizuri cha ajira na ujasiriamali.
 
Ingawa tumebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Udiwani Arusha Jumapili iliyopita, bado CCM tupo imara. Ni wazi kuwa kuanzia uchaguzi mkuu wa 2010,hasa katika chaguzi ndogo mbalimbali,kura zetu zinaendelea kuserereka kuelekea chini pamoja na kushinda sehemu nyingi nchini kwa kipindi hicho.Bado tuna nafasi ya kujirekebisha.

Chaguzi hizi ndogo ni kama mechi za kisoka. Viongozi wetu (makocha wetu) wameshauona udhaifu unaojitokeza chamani na hata kwenye kampeni.Ni watu waonaji na wasikivu.Watafanya jambo. Watakirekebisha vyema chama kuelekea 2015. CCM yetu bado imara na iko tayari kwa uchaguzi wowote mahali popote. Yeyote atakayestahili adhabu ya kichama atapewa;wa kutunukiwa atatunukiwa.

Lakini,kama chama kikomavu,tunatambua kuimarika kwa chama kikuu cha upoinzani nchini CHADEMA SIKU HADI SIKU. Tunatambua kuwa siasa za nchi hizi naimarika na kunoga. Zinaelekea pazuri. Zitafikia mahali ambapo wapigakura watachagua maendeleo hasa. CCM tunajiandaa kwa hilo. Tunajiimarisha kwa siasa za kihoja za haja. Tupo tayari haswa!

CHADEMA,CUF,NCCR-Mageuzi,TLP na wengineo kaeni chonjo.CCM inaimarishwa na siasa za sasa za kidijitali. Bado tupo imara!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ha ha ha aha aha haha aaaaaaaa,aaaaaaaaaaah we acha Bwana mbavu zangu unaziumiza.Nimekumbuka maneno ya Chemical ALLI wakati ule wakiwa na Sadam Husein alivyokuwa anajitapa kuwa tumewapiga Mzee usijali kumbe ndio wanamalizikia.Kweli kabisa CCCm iko Imara sana.
 
Viongozi wetu (makocha wetu) wameshauona udhaifu unaojitokeza chamani na hata kwenye kampeni.Ni watu waonaji na wasikivu.Watafanya jambo. Watakirekebisha vyema chama kuelekea 2015.

Viongozi wenu wangekuwa wasikivu msingefika hapa mlipofika sasa!
 
VUTA-NKUVUTE bana,
Mabandiko yako mengi huwa yanaendana na kubeba ujumbe wa signature yako hii,

is this guilt conscious or just preemptive camouflage ikikumbukwa kuwa ukiwa muongo usiwe msahaurifu.
Mkuu Ng'wamapalala,ipo siku utajua ukweli wangu unaoutafuta kwa nguvu kubwa mno. Uwe na wakati mwema Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Mzee tupatupa forward mliyonayo kama ni timu hata mkimleta furgason mtakuwa mnapigwa bao kila siku. ushaona wapi mtu anapiga penalty badala yakufunga mpira unamgonga kisigino unaenda kufunga golini kwake.
 
Nakupongeza kwa kuwa FAIR, bila kujali Itikadi na Upande wako, ila ukweli ni kuwa mnazidi kushuka siku hadi siku, Mtashinda tu kule sehemu zisizo na mwamko, hasa hasa vijijini.
Siku hizi sisi wananchi tunajionea, huu utandawazi umetufungua macho sana, mnatakiwa mjitadhimini na kuacha kubebwa na Polisi na Usalama wa Taifa. Mfanye Siasa Safi.
Demokrasia Tanzania Inakuwa iwapo kuna Kasoro za kurekebisha.

Ingawa tumebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Udiwani Arusha Jumapili iliyopita, bado CCM tupo imara. Ni wazi kuwa kuanzia uchaguzi mkuu wa 2010,hasa katika chaguzi ndogo mbalimbali,kura zetu zinaendelea kuserereka kuelekea chini pamoja na kushinda sehemu nyingi nchini kwa kipindi hicho.Bado tuna nafasi ya kujirekebisha.

Chaguzi hizi ndogo ni kama mechi za kisoka. Viongozi wetu (makocha wetu) wameshauona udhaifu unaojitokeza chamani na hata kwenye kampeni.Ni watu waonaji na wasikivu.Watafanya jambo. Watakirekebisha vyema chama kuelekea 2015. CCM yetu bado imara na iko tayari kwa uchaguzi wowote mahali popote. Yeyote atakayestahili adhabu ya kichama atapewa;wa kutunukiwa atatunukiwa.

Lakini,kama chama kikomavu,tunatambua kuimarika kwa chama kikuu cha upoinzani nchini CHADEMA SIKU HADI SIKU. Tunatambua kuwa siasa za nchi hizi naimarika na kunoga. Zinaelekea pazuri. Zitafikia mahali ambapo wapigakura watachagua maendeleo hasa. CCM tunajiandaa kwa hilo. Tunajiimarisha kwa siasa za kihoja za haja. Tupo tayari haswa!

CHADEMA,CUF,NCCR-Mageuzi,TLP na wengineo kaeni chonjo.CCM inaimarishwa na siasa za sasa za kidijitali. Bado tupo imara!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Mimi ninaona CCM tumechoka sana na sijui kama hata tutafika hiyo 2015.

Internally we are weak and Extenally we are very weak.
Wakati wapinzani wetu CHADEMA wanasonga mbele kwa kasi ya ajabu sisi tumekaa kupanga ujinga mtupu.
 
Mzee Tupa tupa vp ile kata ya Sombetini Arusha ikitangazwa tena uchaguzi wake mtaenda kujaribu bahati yenu tena kama chama? Na je bado kama kawaida Mwigulu ndo atakuwa Meneja kampeni wenu akiambatana na wale vijana wake 2?!
Lakini kwa suala la kujipanga kwa CCM najua unadanganya nyie ni sikio la kufa maana bado mnaamini kuwa mnapendwa na mnakubalika kitu ambacho sio, kama ni fair game hamuwezi kuchomoka tegemeo lenu limebaki Polisi tu.
 
Back
Top Bottom