toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,631
Catherine Kahabi afurahia kuungua kwa kitambaa cheupe asema lilikua ni chimbo la Mashoga
Huyu nae akae kwa kutulia tu, dada anahaha huyu utadhani kara nini. Kutwa kucha kujifanya anapigana vita vya kupambana na mashoga na wasagaji kumbe naye ni wale wale tu.
Sijapenda kwa kitendo hiki alichokifanya cha kushangilia kuhusu kitambaa cheupe yaani linajiona lenyewe ni malaika kumbe hamna kitu.
Nimeambatanisha post zake na picha zake za utata akiwa na yule Covid-19 inasemekana walikua wanalushana maji kama kawa hadi kuchoreana mitatoo....Picha zake na Covid-19 zenye utata hadi kuchoreana tatoo angalia post kuanzia comment/post namba 36.... picha zinaload hapo umbea bila picha haunogi udugu wangu