Car for sale 2.8 mill

Mrekebishaji

Senior Member
Mar 19, 2009
168
63
Wana jamvi,
nina shida sana ambayo inanilazimu niuze gari yangu kwa bei ya kutupa, nauza Tshs 2,800,000. Ni Nissan Skyline, ipo sinza mugabe kwa sasa. imetengenezwa mwaka 1995, imetembea km 165,270. Piga simu 0763 894508. anagalia picha
 
Attachments

  • vehicle 084.jpg
    vehicle 084.jpg
    837 KB · Views: 261
  • vehicle 085.jpg
    vehicle 085.jpg
    979.9 KB · Views: 162
  • vehicle 096.jpg
    vehicle 096.jpg
    688.5 KB · Views: 121
  • vehicle 101.jpg
    vehicle 101.jpg
    1.2 MB · Views: 125
Vipi kuhusu engine ina hali gani?ac,cd,colour yake na vingine vinavyoweza kutushawishi na kutuvutie tununue.
 
hiyo gari in cc 1994. ina AC, CD machine ipo safi. kuhusu bei haipungua. Hapo ni kutokana na shida niliyonayo ndio maana nafanya hivyo. kama nilivyosema, mwenye kuhitaji apige 0763 894508
 
Wana jamvi,
nina shida sana ambayo inanilazimu niuze gari yangu kwa bei ya kutupa, nauza Tshs 2,800,000. Ni Nissan Skyline, ipo sinza mugabe kwa sasa. imetengenezwa mwaka 1995, imetembea km 165,270. Piga simu 0763 894508. anagalia picha
Mkuu mbona kama ipo garage ? inatembea ? kama mtu niliyouza magari kadhaa hebu mtafute kijana aoshe injini uchafu wake utakimbiza wateja au kushusha bei.
 
Daah nissan kwa hiyo bei sishangai. It means spare hakuna imemshinda mwenyewe anaamua auze bei ya hasara
 
mtu ukipata fursa ya kuiona utafanya maamuzi mazuri zaidi. ni hapa Siza Mugabe. Uzuri kitu ukiona mwenyewe na unaweza kupata ushauri wa wataalamu ni jambo jema.
 
Daah nissan kwa hiyo bei sishangai. It means spare hakuna imemshinda mwenyewe anaamua auze bei ya hasara
kakwambia nani nissan haina spare mkuu??
Nissan haina spare fake na spare zake sio za buku 5 kama corolla zenu mkuu........nissan heshima tupu, ukifunga spare unasahau kabisa.
 
Mkuu mbona kama ipo garage ? inatembea ? kama mtu niliyouza magari kadhaa hebu mtafute kijana aoshe injini uchafu wake utakimbiza wateja au kushusha bei.
mkuu, watu wanaojua magari hawaangalii usafi wa injini mkuu.
unawajua wale madalali wa Lumumba?? wale ndo wanapaka magari mafuta ili yang'ae........ukiingia kichwa kichwa inakula kwako.
 
jamani gari uhakika. mwenye nia aje sinza mugabe. hata kama kuna m2 nyingine ukimalizia nakupa kadi ya gari
 
WABONGO WENGI HUUZA VITU VYAO WANAPOONA UBOVU .hiyo kitu ipo vizuri
kweli
 
kuhusu kuwa kitu ninaweza kuwa kibovu. hilo nakuhakikishia kuwa gari ni nzuri. ila kwa kawaida utakuja na fundi akuangalizie kama wewe si fundi
 
bei iko chini sana hii mkuu. Hivi unajua kama doller imepanda sana? Gx100 sasa hivi huwezi ingiza hapa nchini in less than 9m!!!
 
mkuu, watu wanaojua magari hawaangalii usafi wa injini mkuu.
unawajua wale madalali wa Lumumba?? wale ndo wanapaka magari mafuta ili yang'ae........ukiingia kichwa kichwa inakula kwako.
kitu chochote cha kuuza lazima kiwe 'presentable' ndio maana unaingia kichwa kichwa pale Lumumba wanajua wateja wanapenda nini.
 
kakwambia nani nissan haina spare mkuu??
Nissan haina spare fake na spare zake sio za buku 5 kama corolla zenu mkuu........nissan heshima tupu, ukifunga spare unasahau kabisa.
Nimemshangaa huyo Mheshimiwa,kuna watu humu wasione mtu anauza kitu basi watu wengine hukurupuka kwa taarifa wasizo na hakika nazo just to show kwamba they are also informed!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom