Gerald
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 290
- 46
Haya wana JF na hiyo tena gari nauza aina Subaru Forester Year 1999, Km 105,000, 2.0cc, 4WD, Automatic, Turbocharge, good condition, small scruch and dent, kutoka Japan ilikua na KM88,000 so, almost 15000km nimetumia nikiwa nayo hapa Imesajiliwa tiari TZ, Ina mwaka tokea nimeiagiza na kuitumia. Bei ni 7.5M, let me know if ur interest please nitumie email adress yako ili nikutumie picture etc. .