TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

KUNA KITU KINATAKA KUTOKEA TANZANIA MWAKA HUU.MUNGU AREHEMU SAN..ILA IKITOKEA Ccm haIpo tena madasakani.
 
sote tutakufa lakini kuna kifo na kifo. komba kafa kifo cha kidhalili sana, cha udhulumati. na alivokuwa na kiburi cha pesa za uzulumati sidhani hata alikumbuka toba, am sure he is not going to RIP but SIH(Suffer In Hell)

Tuendelee kuvurugana hukuhuku Duniani sisi tuliokuwa hai. Waache waliotangulia wakajitetee wenyewe.

Huruma ya Mungu haina mipaka. Jiandae Kuhesabiwa pia. Usimnyooshee kidole mwenzio.

"USIMHUKUMU NDUGU YAKO, NAWE USIJE KUHUKUMIWA"
 
Pro-Chadema JF wana vituko sana ushabiki wao wa vyama hadi kwenye vifo.

Kifo siyo malipo ya ubaya kama mnavyodhani hivi kuna mtu humu hajawahi kufiwa na ndugu/jamaa, binadamu wote tunatembea na vifo.

Mbona viongozi wengi tu wa Chadema wameishatangulia mbele ya haki yupo wapi Chacha Wangwe, yupo wapi Regia Mtema, yupo wapi Bob Makani.

Kifo akichagui sijui wewe upo UKAWA au CCM.
 
ndo maana tumekuambia kuna kifo na kifo. kuna kifo cha kidhalili(dying like a hog(castrated pig) na kifo cha kishujaa(dying nobly). warioba akifa leo(hata kama mtamuua nyie) atakuwa kafa kishujaa kama walivokufa kina madiba, mwandosi, samora mashel, yule polis wa dom, nyerere na kadhalika. sasa si kila mtu ni mtu eti akifa tuhuzunike, kuna na viatu. hivi linyoka la makengeza likirest in hell leo hii kuna mtu atatoa chozi?!!! la kazi gan???!!
 
Ombi lake liheshimiwe. Poleni wafiwa.
 
Attachments

  • 1425156921232.jpg
    1425156921232.jpg
    67.1 KB · Views: 612
  • 1425156955547.jpg
    1425156955547.jpg
    67.8 KB · Views: 583
  • 1425156970217.jpg
    1425156970217.jpg
    89.2 KB · Views: 603
Nasubiri orodha ya wana CCM wanaopaswa kumtangulia mbinguni mzee Warioba kabla ya uchaguzi mkuu 2015.
 
Kwanin kifo cha huyu mzee kimekuwa kama kinashangiliwa na kupigiwa makofi,inamaana alikuwa mkosaji!!!,tulizoea mtu akifa,hata makosa yake yanafukiwa inakuwaje juu ya mzee huyu,japo kafa ghafla lkn bado imekuwa kama watu tnasema bora amekufa jmn!!!!!,km alikosea basi tumsamehe ili Mungu amsamehe pia
 
Pro-Chadema JF wana vituko sana ushabiki wao wa vyama hadi kwenye vifo.

Kifo siyo malipo ya ubaya kama mnavyodhani hivi kuna mtu humu hajawahi kufiwa na ndugu/jamaa, binadamu wote tunatembea na vifo.

Mbona viongozi wengi tu wa Chadema wameishatangulia mbele ya haki yupo wapi Chacha Wangwe, yupo wapi Regia Mtema, yupo wapi Bob Makani.

Kifo akichagui sijui wewe upo UKAWA au CCM.

Acha unafki mbona kifo cha Osama Obama alikunywa whisky na vigere gere
 
Sina sababu ya kumuhukumu kwa maisha yake binafsi aliishi duniani,lakini sitamsamehe kuhusu Katiba Mpya! Alishindwa kuvilinda na kuvitetea vizazi vyake vijavyo na laana hii itamwandama siku zote na wenzake!
 
Pro-Chadema JF wana vituko sana ushabiki wao wa vyama hadi kwenye vifo.

Kifo siyo malipo ya ubaya kama mnavyodhani hivi kuna mtu humu hajawahi kufiwa na ndugu/jamaa, binadamu wote tunatembea na vifo.

Mbona viongozi wengi tu wa Chadema wameishatangulia mbele ya haki yupo wapi Chacha Wangwe, yupo wapi Regia Mtema, yupo wapi Bob Makani.

Kifo akichagui sijui wewe upo UKAWA au CCM.
Unaweweseka nini.Maoni yoote negative ni wanachadema?Huna akili zaidi ya siasa?Au wewe nmi kama mwenzio Mussa Allan aliyesema ni afadhali angekufa babu mzinzi bila kujua ndo tayari kafa!Hao ulowataja ni tofauti na huyu jamaa wao hawakuwahi kumtukana Jaji au kuliza umma wa wa Tz kwa uwizi na dhuluma kama ...
Pia kuna usemi mtu hujizika mwenyewe ..yaani matendo yako,sasa unapoona kila mtu yuko againist ujue kuna jambo!Any way poleni wafiwa mwenda kaenda dawa ya deni kulipa.
Msiba mkubwa zaidi huenda ukaja baade kama hakuandika urithi kwa wanae kwa jimbo la mbinga magh..kama ilivyokawaida ya Sisiemu.
 
yaan mfano kesho mara paaaaa lidondoke lichatu la makengeza yan ningetafuta baa moja hapa manzese niifunge walala hoi wanywe bia za bure kusheherekea. madhulumati yote fahari yao ni hapa duniani tu lakni vifo vyao ni vya kidhalili kama cha komba.

mtatua na kutupasua vichwa sana kwa marungu ya polisi lakini na nyie siku zenu zipo nambadi kama sisi tu.
 
.. Ritz haya kashadhulumu dunia mtu alijiona ataishi milele kwa kuishi uuu
Lakini hata ufanye nn biology it akuone of a a namba gaff
Bado hao wanao jiita majoka yatawakutaa tu
Na hyo mzee wa msituni sijui kma alipata nafasi kutubu, hii dunia tu tuna pita tu
 
Last edited by a moderator:
yaan mfano kesho mara paaaaa lidondoke lichatu la makengeza yan ningetafuta baa moja hapa manzese niifunge walala hoi wanywe bia za bure kusheherekea. madhulumati yote fahari yao ni hapa duniani tu lakni vifo vyao ni vya kidhalili kama cha komba.

mtatua na kutupasua vichwa sana kwa marungu ya polisi lakini na nyie siku zenu zipo nambadi kama sisi tu.

Mkuu usijali Mali po duniani tu
 
Duuuh.. hii sijawahi ona popote pale ni Tanzania tu. Mtu kafa ila vijembe anavyopigwa hata angekuwa hai angekufa tena. Hii inanipa picha kwamba watanzania wengi wana hasira sana na kama kila mtu akipewa silaha tutakua zaidi ya somalia. RIP Captain Komba nakumbuka nyimbo zako 1999 nikiwa darasa la 3, japo nlikua mdogo lakini nlijawa na maswali mengi ilikuwa vipi mwalimu afariki saa nne halafu wewe mda mfupi tu utoe nyimbo zilizoshika kila kona ya nchi. Nilikua nashangaa sana na sikuwa na jinsi zaidi ya kukukubali wewe ni GENIUS kwenye sanaa ya mziki wa matukio (maombolezo, uchaguzi, shughuli za kitaifa etc) na utabaki kuwa hivo. Japo sikuwa mshabiki wa sera zako wala chama chako kama binadamu nakuombea upumzike salama kwenye nyumba yako ya milele. MWANADAMU KUMBUKA U MAVUMBI NA MAVUMBINI UTARUDI
 
Back
Top Bottom