Canal mstaafu Fabiani Massawe

Mungu wangu!! hata huoni ulipojichanganya? hii mpya! ntakusaidia, 1. huwezi kumfagilia mtu halafu hujui sawasawa ni nani, yuko wapi na anafanya nini, mara unadhani yuko Kagera, mara polisi Tabora 2. Umeandika Canal si ungesema tu Kanali? Canal ni mrefreji, na katika lugha zetu zile za faragha ni tusi kubwa. Kama ulitaka kuandika in english ungesema Colonel 3. Post yako imekaa kama vile unatuuliza tukuambie wewe ni nani.

Mkuu na wewe mrefreji ndio nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom