<br />kwani unamsamehe wakati jamaa likiwa bado juu linagugumia, acha roho ngumu ,mbona tunaoa wanawake waliokwisha zaa tayari au walioachika, c nao midume ilikuwa inagugumia, ukiweka akili ya kusahau yaliyopita na kuganga yajayo mambo yote yanawezekena, <br />
Tambueni wanaJF adhabu iliyokali kuliko zote ni upendo kwa aliyekukosea, waswahili wanasema ADUI MPENDE.........................................
Wakati naoa nilijiuliza nioe mtu au nioe malaika. Nilitamani nioe malaika lakini nikashindwa, nikaamua nioe binadamu. Sasa infidelity wanafanya nani, kama sio binadamu. Akicheat, nitamsanehe tu kwa sababu yeye ni binadamu. Ila angekuwa malaika nisingemsamehe kamwe...
Hapo hakuna ndoa aiseeMama alikuwa na mahusiano na boss wake akiulizwa anakataa ,mmewe akaweka mtego uliofikia kumnasa ..
Sasa mama ametoweka katika mazingira ya kutatanisha mzee yuko hospital
hahahI am adamant hasa kwenye haya mambo, aisee hapo no question mama mkwe i just can't
hahah
una kamoyo kama vespa aisee
FL1
Kusamehe ni karama tuliyopewa na Mungu; na ni kitu kizuri sana kama unaweza kusimama nacho bila kumnanga mwenzi wako miaka yote baada ya hapo.
Ninajua wanaume wengi sana wamesamehe na wengine wanaishi na watoto waio wao tena wakiwa wanajua... hilo linawezekana sana, lakini pia ukweli yote yatategemea sana huyo mama amefanya na nani na pia katika mazingira gani. Sijui kwangu yakinitokea ntafanyaje ila naomba sana mungu anipe uwezo huo
Nadhani yote yanatemegea malezi, imani yako na matumaini uliyopewa
Namuombea huyo jamaa akiamka atafakari kama anaweza kuishi na consequences za infii
Mume kusamehe huwa si rahisi kihivyo.........but mke asiposamehe dunia humshangaa.
Jamaa kishazinduka jana jioni na akili yake sasa imerudi normal ,alilofanya kawaita ndugu wa karibu na kuomba wamwambie wife wake akae mbali na yeye kwa sasa na hataki kumuona kabisa mpaka pale akili yake itakapoamua sasa achukue maamuzi gani
haitaji kumuona mkewe sasa kwani maamuzi anayoweza kufanya kipindi hicho hajajua yanaweza kuwa mabaya zaidi
..Hivi ni kwa nn tusiwe waaminifu katika ndoa/mahusiano yenu ?
Mume kusamehe huwa si rahisi kihivyo.........but mke asiposamehe dunia humshangaa.
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
With all sincerity i doubt if any man can...
Nukuu yangu na cheating vina uhusiano gani? Hebu nionyeshe tafadhali....
Simsamehi hata kwa dawa! huh!!!
Masikini anatilishaaaa......lakini cha kushangaza ni kuwa angekuwa ni mke ndiye kafumania unadhani hao ndugu wangesubiri kuitwa>> Yaani hata kabla hajazinduka wangefika wenyewe....tena wazee wa heshma ...na kuanza kumsemesha huo mwili wake (maana hajazinduka ati) huku wakimmasajimasaji kuwa maisha ndivyo yaivyo, avumilie tu......na akizinduka wanampa chorus.....ni mumeo msamehe, maisha ya ndoa ni kusameheana..... lakini kwa mume..........sidhani kama ni rahisi kusamehe aisee.Duh!!!!!Mama mkwe nilitegemea kwa vyovyote vile lazima angezinduka angesema maneno kama hayo sababu hapo alipo ni ana hasira mbaya sana yaani sipati picha jambo kama alijakutokea wala usiseme chochote kile vinginevyo likikutokea u never know what will happen or what decision you might take........
Masikini anatilishaaaa......lakini cha kushangaza ni kuwa angekuwa ni mke ndiye kafumania unadhani hao ndugu wangesubiri kuitwa>> Yaani hata kabla hajazinduka wangefika wenyewe....tena wazee wa heshma ...na kuanza kumsemesha huo mwili wake (maana hajazinduka ati) huku wakimmasajimasaji kuwa maisha ndivyo yaivyo, avumilie tu......na akizinduka wanampa chorus.....ni mumeo msamehe, maisha ya ndoa ni kusameheana..... lakini kwa mume..........sidhani kama ni rahisi kusamehe aisee.
Ndio maana I always say kuna baadhi ya mambo ambayo mwanamke kama mwanamke hapaswi kuyafanya yaani hata iweje hatakiwi kuyafanya.....tunafanya tu kikichwa ngumu