Call for interview: Hakimu mkazi II

Dadio

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
359
42
Wadau tume ya mahakama imetoa majina mengi kwa walioomba nafasi mbalimbali. Someni mwananchi ya Leo kuona NA kujiaandaa kwa walioitwa.
 
Nimejaribu kutafuta hayo majina kwenye web site yao lakn nimekosa. Ninalo gazette hapa taja jina lako nikuangalize NA nafas uliyoomba.
 
Nimejaribu kutafuta hayo majina kwenye web site yao lakn nimekosa. Ninalo gazette hapa taja jina lako nikuangalize NA nafas uliyoomba.

Niangalizie NGW'ANASHIJA NGW'IZUKULU JILALA nafasi hakimu II.
 
Katika majina yote hakuna majina ya kienyeji kama yako
 
Back
Top Bottom