CAG na POAC wapendekeza walioliingiza taifa mkataba wa Airbus 320-214 washtakiwe!

Hivi JK kwanini hajitutumui hata kidogo, kuwawajibisha hawa majingiri?JK mbona kazi tuliyokutuma huifanyi?kama wewe huwezi turuhusu hata sisi tuonyeshe mfano kwa wawili tu.
 
Hii ndiyo serikali inayosema ina maendeleo makubwa na viongozi hodari kuliko Nyerere. Nani amezaa hili balaa? Obvious Mkapa hakumrithisha mtu hili.
By the way kila mtu abebe msalaba wake
 
Tulishawaeleza n faiza f \jf ni zaidi ya serikali
sema makao yake makuu yako mbinguni watu wanawasiliana kuongoza serikali paspokujuana na serikali inaenda
sasa mwanzoni tuliwaambia yule mama wa same aliekuwa akipiga makelele ya atcl yuko wapi alipewa kila kkitu akaanza na moto leo loh
buriani regia
tutakukumbuka daima
 
Sasa Omari Nundu si wa juzi tu...@Pdidy & all..... Jamani cha kukilaumu ni mfumo mzima wa CCM na serikali yake.. Kwanza Omari N. ni kichwa ambacho dunia nzima kinaheshimika.. Na ameingia juzi tu..scandal ni ya miaka minne iliyopita.. Cha kulaumu ni mfumo.. Yaani serikali iliyopo madarakani kama ukichunguza maovu yao,hata kujivalisha bomu la nyuklia ujilipue,hutajishauri mara mbili..
 
na aliyempa kazi mataka yuko wapi?
mara ya mwisho kuguswa ****** yangu ni shulen sasa hilo swali unapoeleekea unanitatiza nahisi yale ya shule ayanataka kujirudia kwa njia nyingine \
napita tu
 
Sasa Omari Nundu si wa juzi tu...@Pdidy & all..... Jamani cha kukilaumu ni mfumo mzima wa CCM na serikali yake.. Kwanza Omari N. ni kichwa ambacho dunia nzima kinaheshimika.. Na ameingia juzi tu..scandal ni ya miaka minne iliyopita.. Cha kulaumu ni mfumo.. Yaani serikali iliyopo madarakani kama ukichunguza maovu yao,hata kujivalisha bomu la nyuklia ujilipue,hutajishauri mara mbili..

Mkuu huyu unaemttetea ni wale wale kama umeona amekuwa mstari wambele kutetea hoja ya kukodisha ndege zilizochoka huyu ana adabu....unahisi scandle la ATCL alijui??analijua na ndio maana mwenye akili awezi kusema aATCL IENDELEE NA MCHEZO WA KUKODISHA MWISHO KILA MTANZANIA ATAVULIWA NGUO KWA AJILII YA ATCL NAWAASA TU KAMA AMPO MACHO..NI VYEMA UKAONA MBELE KULIKO KUWA HAPO TULIPO....NAMPENDA NA NAMHESHIMU SANA NUNDU WAKATI ANAINGIA NILIJUA ATAREKEBISHA HII SEKTA NA YEYE AMEANZA K UKIMBILIA CHOCHORO LA KUKODISHA NDEGE

NANI ANASEMA TANZANIA ATUWEZI KUNUNUA NDEGE
WALE KENYA WANA NINI SISI ATUNA...UMEONA TUNAPOTEZA KIASI GANI KWENYE KODI ZA MADINI ??UNAHISI KAGAME ANGEKABIDHIWA KIPANDE CHA MWANZA TU ILE NCHI WANGEIITA URUSI....M NAHISI NI KUWA NA MSIMAMO TU
NAPENDA KUMPONGEZA HATA ALIECHAGULIWA KUONGOZA INGAWA NAMWONEA HURUMA AMEIKUTA WAKATI MGUMU ILA NIJUAVYO CHEO CHENYE AKILI KULIKO VYOTE WACHA HIZ DK ,PHD,,MTU AKIANZA NA Eng ....hata Mungu alie juu anakuwa anamheshimu na kusikia maombi yake natumaini kwa uweza wa muumba na kama hatoingiliwa
""YES HE CAN"""
 
Wakati ule hii issue ya kukodi ndege ilipotolewa na watu wenye nia njema iliitwa ni umbeya. Sasa hivi tunadanganyana waliohusika wachukuliwe hatua. nani sasa afanye kazi hiyo maana ilikuwa dhahiri there was a problem and proctectionism was applied.
 
sorry nahisi msinielewe vibaya

HUYU CAG NAE NI MSANII WA SIASA WA CCM
HIVI MMEKUWA MKIFWATILIA REPORT NGAPI AMETOA ZA WIZI HALMASHAURI NA KILA SEHEMU ANAACHA GEPU LA MILLION 800/BILLION 2
MMEJIULIZA NI SH NGAPI ZINGKUSANYWA AMA KUFWATILIWA HAO WAKURUGENZI WA HALMASHAURI MNAHISI LEO TUSINGEWEZAKUNUNU B737/800 YA ATCL MBILI BRAND NEW..M NAFIKIRI HUU NI US
 
Kama yuko serious afwatilie wale wahuni wezi walioiba kwenye halmashauri then ndio aendee huko atcl else ni msanii mtakimbilia mada zake tunabakia na historia kama wakina regia,na sumari na afadhali wao wamefanya kitu basi duniani...mi namwogopa kabisa toka issue ya jairo simwamini tena wallahi ..hata ashauri rais afungwe kwa kumchagua mattaka mi namkimbia mtu ambae anauwezo wa kusimama kwenye vyombo vya habari na kutamka jamaa yaani mwizi hana hatia na hata mwende wapi haki itaonekana loh shame i=on him
mi nashauri hata hizi taarifa zake kabla ya kuzileta hapa mzichuje sana sana asije waingiza mkenge oneday

mungu ibariki tza na wale wote waliochana passport na kutupa chooni nao wabarikiwe maana waliona mbali
 
Kusema pdidy nae afungwe ama auwawe ni dk mmoja mtu kama huyu alafu mmejiuliza ripoti ilivyotoka ajasema chochote kama amekosea asamaheewe loh
 
Wakuu. Fanyeni tathmini nyepesi, Chukua Chako Mapema maelewano hamna na wao wameshika dola, unatarajia nini? Nani kati ya waliofanya madudu ya kutuangamiza ametamka anaomewa? Hamna. Nani katika utawala uliopo anayo jeuri ya kusimamia sheria? Hamna. Kwa kifupi: muda uliobakia ni mfupi sana - wanagawana hao nasi tutabaki tukiwapamba na mifupa tunayotupiwa. Mungu na atusitiri. Amen.
 
Wakuu Nadhani mda wa kuasi umefika. Miaka ya nyuma Kulikuwa na kundi la Komando Yoso na Black Mamba. Tuyafufue na Tuanze kuwachinja hawa majambazi wa Mali zetu. Uzalendo umeshanishinda.
 
Loh, nchi hii hapana. Yaani hata mataahira wageni wanakimbilia Tanzania kuwahi shambani kwa bibi. Wananchi tunaangalia tuuu na Raisi wetu yupo tu. Unaweza kuona aibu kujiita Mtanzania nje ya nchi, maana ni kejeli tupu unaambulia, tumekwisha, nchi imemalizwa
 
Back
Top Bottom