CAG afanye Ukaguzi. Hili Jengo la Ofisi ya CHADEMA halifanani na Sh. Bilioni 2

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,114
49,840
Wakuu Chadema Wana mzaha sana ,eti haka kajengo kama nyumba ya kuishi ndio Ofisi ya Chama Makao Makuu waliyoisubiria Kwa miaka 30..

Mil.500 eti ya Kiwanja na Ukarabati wa 1.5bln? Huu ni Ufisadi wa mchana kweupeee.

Hivi Chadema mnaijua Bilioni 2 kweli nyie? Anyway wajinga ndio Waliwao nyumbu ni nyumbu tuu..
1688231634850.png

Chama kikuu cha upinzani CHADEMA kililazimika kusubiri kwa miaka 30 kabla ya kupata jengo la ghorofa moja litakalotumiwa kama makao makuu yake, lililonunuliwa na kurekebishwa kwa thamani ya takriban Sh1.5 bilioni.

My Take
CAG Afanye Ukaguzi maalumu,Wamekarabati pesa ya ruzuku,hapana Value for money hapo.
 
Wakuu Chadema Wana mzaha sana ,eti haka kajengo kama nyumba ya kuishi ndio Ofisi ya Chama Makao Makuu waliyoisubiria Kwa miaka 30..

Hivi Chadema mnaijua Bilioni 2 kweli nyie? Anyway wajinga ndio Waliwao nyumbu ni nyumbu tuu..

My Take
CAG Afanye Ukaguzi maalumu,Wamejenga Kwa ruzuku,hapana Value for money hapo.

We unachukulia mchezo mchezo sio.
 
Wakuu Chadema Wana mzaha sana ,eti haka kajengo kama nyumba ya kuishi ndio Ofisi ya Chama Makao Makuu waliyoisubiria Kwa miaka 30..

Hivi Chadema mnaijua Bilioni 2 kweli nyie? Anyway wajinga ndio Waliwao nyumbu ni nyumbu tuu..

My Take
CAG Afanye Ukaguzi maalumu,Wamejenga Kwa ruzuku,hapana Value for money hapo.

Walikwambia pesa zote wanatumia kununua jengo!??
 
Wakuu Chadema Wana mzaha sana ,eti haka kajengo kama nyumba ya kuishi ndio Ofisi ya Chama Makao Makuu waliyoisubiria Kwa miaka 30..

Hivi Chadema mnaijua Bilioni 2 kweli nyie? Anyway wajinga ndio Waliwao nyumbu ni nyumbu tuu..

My Take
CAG Afanye Ukaguzi maalumu,Wamejenga Kwa ruzuku,hapana Value for money hapo.
Hivi umeingia mle ndani wewe kapuku ? usifanye mchezo na jengo lililowekwa mitambo ya kuzuia mabomu na risasi .

Kwa sasa ukitaka kumuua kiongozi wa Chadema akiwa ofisini kwake njia unayoshauriwa kutumia ni kumloga tu , risasi hazipenyi hapo .
 
Ofisi ni BoT? Kuna nini Cha ajabu?
 
Wakuu Chadema Wana mzaha sana ,eti haka kajengo kama nyumba ya kuishi ndio Ofisi ya Chama Makao Makuu waliyoisubiria Kwa miaka 30..

Hivi Chadema mnaijua Bilioni 2 kweli nyie? Anyway wajinga ndio Waliwao nyumbu ni nyumbu tuu..

My Take
CAG Afanye Ukaguzi maalumu,Wamejenga Kwa ruzuku,hapana Value for money hapo.
Umeliona lote ama ni hiyo picha ya mbele tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi umeingia mle ndani wewe kapuku ? usifanye mchezo na jengo lililowekwa mitambo ya kuzuia mabomu na risasi .

Kwa sasa ukitaka kumuua kiongozi wa Chadema akiwa ofisini kwake njia unayoshauriwa kutumia ni kumloga tu , risasi hazipenyi hapo .
Kwa sasa ukitaka kumuua kiongozi wa Chadema akiwa ofisini kwake njia unayoshauriwa kutumia ni kumloga tu , risasi hazipenyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma gazeti linasema wametumia 1.5bil kununua na kukarabati kati ya Bilioni 2 ambazo zilipangwa tumika
Hapo ndio wanazidi kuharibu yaani Bil.1.5 Kukarabati wakati Inajenga Jengo jipya kabisa 😆😆😆😆😆😆
 
Lote nimeliona,weka picha yote..

Leo mumeumbuka,Kuna Bilioni 2 hapo?
Kuna vitu Watu mnaongea mnafanya tuonekana baadhi ya Watu ni wajinga Kumbe Kuna Watu wapo smart tuu...mkubwa kasome Tena hiyo habari,wamekwambia hizo 2B zitajenga ofisi dar na znz,hivi kweli 2B unaiona Hela nyiingi ya kujenga majengo ya kisasa hapo masaki na Zanzibar Duuuu...Tutafuteni nada zingine bas Tunatia aibu
 
Wewe ndio mpuuzi Sasa povu la nini CAG ndio ataondoa utata wewe unaogopa nini kama hujapiga hela?
Acha upumbavu, nenda kujisomee tena CAG majukumu yake, hasa linapokuja suala la ukaguzi wa fedha ya kodi, hapo hakuna cent ya serikali ya CCM iliyotumika, na ccm warudishe viwanja vyote vya mpira vilivyojengwa na kodi yangu,including majimaji, Sokoine, kirumba
 
Majizi mtazidi kuumbuka,kama mnaiba vya ndani ya chama vya Serikali itakuwaje? 🤣🤣🤣🤣
1.5bln imekarabati jengo,Chadomo mnaijua 1.5bln lakini? Hospital ya Wilaya inajengwa kwa pesa hiyo ,rudisheni pesa wapuuzi nyie.
 
Back
Top Bottom