Baraka F.K
Member
- Aug 28, 2012
- 79
- 26
Timu ya Taifa ya Tanzania Beach Soccer imeichapa timu ya Taifa Kenya mabao 7-6 katika mchezo uliofanyika jioni ya leo Klabu ya Escape One Msasani Dar Es salaam.
Kwa kuitoa Kenya sasa Tanzania itacheza na Misri kati ya Machi 7, 8 na kurudiana kati ya Machi 13,14, mshindi atakwenda moja moja kwenye fainali za soka la Ufukweni barano Afrika nchini Shelisheli mwezi April mwaka huu.
Katika mchezo wa leo mabao ya Tanzania yalifungwa na Ally Rabbi mabao matano, Kashuru Salum bao moja na Samwel John bao moja.
Tanzania imefuzu hatua inayofuata kwa jumla ya mabao 12 -9 kufuatia kushinda mcheo wa awali 5 - 3 jijini Mombasa