mwenzenu nimeishiwa hadi pesa ya kununua gazeti du! ajira ngumu du! mliopata msitusahau jamani wenzenu
mwenzenu nimeishiwa hadi pesa ya kununua gazeti du! ajira ngumu du! mliopata msitusahau jamani wenzenu
kaka hao waliopata wameshatusahau maana wanajiona wao wameshafika hawakumbuki kuwa katika maisha kuna kupanda na kushuka.
kinancho takiwa tusife moyo tuendelee tu kuhangaika kwa kusambaza barua zetu ipo siku mungu atasikia kilio chetu.
Hata kama Mtu ulikuwa unamsaidia kwa hali na mali , uliyekuwa unamsaidia akipata kazi tu anakusahau kabisaa.
''Nilichogundua kuwa urafiki shuleni (vyuoni) tu mukimaliza urafiki unakuwa wa mashaka .i.e unaisha''
I WILL KEEP ON FIGHTING( THROUGH APPLYING) AM NOT GIVING UP