Elections 2010 Buzwagi wamsubiri Dr. Slaa kwa hamu!!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
Vi "nzi" vilivyotangulia mitaa ya Buzwagi machimbo ambayo yalichangia kuipa chati na Zitto Kabwe ujiko wa pekee katika siasa za Tanzania vinadokeza kuwa wananchi wa huko wanasubiri kwa hamu kumsikia Dr. Slaa atakapopita huko na ujumbe wa mabadiliko ya taifa...

Wanakijiji wanasubiri kwa hamu kuweza kuonesha hasira "yao"... sijui manake nini..

Habari ndiyo hiyo!!
 
Tumekaa mkao wa kula kujuzwa ya huko mkuu!!
Inatia moyo kuona mabadiliko yako pia huko!!!!

CCM kazi ipo this season!!
 
Wanataka kueleza hisia zao kuwa wakati watoto wao wanazama kwenda kuchukua vito kule handakini,kila wanapotoka hawaoni kitu,ila kwa wajanja ni vichuguu virefu tu vinaota. Wamegundua kuwa kumbe yale mahandaki ndo nyuma zao za baadae watakazo share na chatu na nguruwe pori hapo baadae,hivyo wanaomba usaidizi
 
Inakera unaposikia tambo na porojo za uongo za ccm wakati wanajua........saaizi utasikia oooooh tumewasaidia sana wananchi wa buzwagi wkt wananchi wenyewe wanaona hali halisi.............mtupeni data kamili dr.akitua huko..........
 
Back
Top Bottom