Buyuni sokoni toeni risiti za mashine kwa daladala

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,485
3,133
Kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa daladala za
1.BUYUNI SOKONI-SIMU 2000
2.BUYUNI SOKONI-M/COMLEX
3.BUYUNI SOKONI-KIVUKONI.
Wanalazimisha daladala zifike mpaka ndani ya soko wakati barabara ni mbovu sana,lengo wapate ushuru.

Tatizo ni kwamba wenye daladala wanataka risiti za mashine,wakati hapo sokoni wao wana za kuandika kwa mkono.

Tunaomba wahusika washughulikie hili ili serikali isikose mapato...
 
Back
Top Bottom