Business ya bureau de change

FELIPE

Senior Member
Aug 4, 2011
107
45
Guys nafikiria kuanzisha biashara ya bureau de change, nadhani katika mazingira ya nchi yetu ambayo currency yetu haipo stable biashara hii inaweza kulipa. Chamsingi naomba mnisaidie kujua how does this business operate? wanatengenezaje faida, na unaweza anzisha ukiwa na mtaji kihasi gani minimum?
 
Application ya hii biashara inafanyika through BOT ukienda utapewa application form ambayo utapashwa kuijaza as far as i know ni kuwa application fee ni 1,000,000/= unalipia throught TISS transfer pia utahitajika ku-attach sources of funds for the proposed Bureau de Change, Current Business acitivity of shareholders, confirmation from bank or financial institution that the Bureau de Change maintains local and foreign currency accounts.

Pia utapeleka CERTIFIED COPIES OF:

(a) Certificate of Incorporation;
(b) Registration of Business Names;
(c) Business licence;
(d) TRA Tax Clearance Certificate for the current business;
(e) Passports of the proposed applicants; and
(f) Two certified passport size photographs of each applicant.

Vitu vingine utakutana navyo kwenye fomu ambayo utapewa kujaza
 
Nafuatilia kwa makini mivhango ya wadau coz I'm also thinking to take this idea into reality

Endeleeni wadau kutupa data
 
asante sana kaka kwa maelekezo yako atleast nimepata pa kuanzia kupata information zaidi, be blessed.
 
Back
Top Bottom