Business: Serious aliyetayari kushirikiana kuanzisha radio station geita italipa!

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Nina proposal ndugu zangu kwa mtu/watu walitayari tushirikiane tuanzishe radio station mkoa mpya Geita italipa sana! Mkoa huu sasa unakuwa mkoa ambao unatarajiwa kupanuka haraka sana ukizingatia unapesa sana kulingana na migodi iliyomo ndani yake! Sasa wanasema ujanja ni kujiwahi, tukianza na overage ya mikoa mitano tutapiga hadi jijini Mwanza na mikoa jirani kama Shinyanga! Sasa naomba kweli kama kuna watu/mtu aliyeserious kuhusiana na hili tuwasiliane na nitaeleza machato au mapendekezo yangu vizuri kwao! Email yangu: radioproducer@rediff.com aliyetayari tuwasiliane kwa mail!
 
Mwaga hilo proposal na business plan hapa tuichambue.

Je mtaji unahitajika kiasi gani kwa kurusha masafa ya mikoa 5 ya jirani.?
 
Radio producer naomba utusaidie maana wengine hatujui hivi hawa jamaa wa radio wanapataje income! Kwa mfano hizi redio za FM inakuwaje?

Job kwa sasa kuna hivi vitu ndo vinavyoingiza chumaaa:-
1. Programs sponsorship
2. Promotions fees
3. Adverts &spots
4. Production fees
5. Contributions for wenye mapenzi
6. Matamasha
7. Competition run by the radio station
8. Business programs hapa ni noma ukimpata mtu kama Radio Producer utatajirika ile mbaya!
9. Na mengine mengi tu ndugu yangu hehehehe! :coffee:
 
Back
Top Bottom