fangfangjt JF-Expert Member Apr 25, 2008 571 139 Apr 8, 2011 #1 Zaidi ya abiria 50 waliokuwa wakisafiri na bus la Polepole wamelazwa hosp ya mrara Babati baada ya bus hilo kupinduka. 8 hali zao mbaya RADIO1 STEREO
Zaidi ya abiria 50 waliokuwa wakisafiri na bus la Polepole wamelazwa hosp ya mrara Babati baada ya bus hilo kupinduka. 8 hali zao mbaya RADIO1 STEREO
kaburungu JF-Expert Member Mar 9, 2011 3,601 6,632 Apr 8, 2011 #2 Mungu awasadie hao majeruhi wapate nafuu na wapone kabisa. Nini chanzo cha basi hilo kupinduka?
Nazjaz JF-Expert Member Jan 20, 2011 7,684 8,833 Apr 8, 2011 #3 Chanzo ni mwendokasi, dereva alikuwa na hasira, alikuwa ametoka kugombana na mwajiriki wake. Source; radio one breaking news
Chanzo ni mwendokasi, dereva alikuwa na hasira, alikuwa ametoka kugombana na mwajiriki wake. Source; radio one breaking news