Bungeni: Wasira anatumia saa nzima kutaja watu majina

Anasema anashangaa wanaopinga budget kwa sababu walipitisha wenyewe ya mwaka jana ambayo ina mipango inayoendelezwa mwaka huu.
 
Wale wanaosema hawaungi mkono wamebadili mawazo. kazi yangu ni kuwakumbusha ili waunge mkono.
 
Hivi lazima kuwasoma wachiangiaji wote?? Ina tija gani.

chumvi nyingi huondoa radha nzuri ya chakula....... katumia dakika 5 wewe unasema saa nzima

Ni utaratibu uliopo bungeni hata wapinzani wanautumia kama hatuutaki tunahitaji mabadiliko kila mtu amechoka na utaratibu huu hasa kama shukrani zinakwenda kwa watu wengi
 
kutaja taja majina tuuu nyimbo nzima tenaa kwa mistari icyo na vina
Afande sele huyo
 
Vesrsion rasmi ya mpango wa serikali ni ule wa kiingereza. Anasema ule wa Zito wa kiswahili wao hawauamini.
 
Anawashangaa Zito na Mwigulu kujisiafia Elimu zao. Anasema hoja sio Elimu bali unaitumiaje hiyo elimu.
 
Eti anato points zitakazo wafanya waipingaji wa budget waikubali. Huyu mzee ana akili kweli?
 
Hakuna nchi dunia iliopuuza Skills ikafanikiwa. Ukiongeza Skill dev budgeti inafikia hiyo 35% wanaoitaka wapinzani.
 
Matumizi ya kawaida sio mabaya. Matumizi ya kawaida sio ulaji tu ni kama Grease ya Gari.
 
Anasema tukope tu watalipa vizazi vijavyo. Hilo halina Shida. Kweli huyu jamaa ni janga.
 
Back
Top Bottom