Bungeni Umeme umekatika na limeahirishwa

Taa zimezima, halafu kilichoniudhi ni uropokaji wa baadhi ya wabunge, huku wakipayuka kwa kejeli kuikashifu CDM.
 
Taa zimezima, halafu kilichoniudhi ni uropokaji wa baadhi ya wabunge, huku wakipayuka kwa kejeli kuikashifu CDM.
At least watu wa Chadema hatuwezi kuwashakia tena
Sasa tuangalie nani anaweza kuitukana Chadema jizani
Ni yulele anae shindwa kujenga hoja mwanga ukiwepo
siwezi kuwataja ila tunwajua wahuni wetu, kudadadeki :censored:
 
Taa zimezima, halafu kilichoniudhi ni uropokaji wa baadhi ya wabunge, huku wakipayuka kwa kejeli kuikashifu CDM.
 
Duh! hii hadithi ya mgawo wa umeme kuwa historia ina dalili ya kuisha kweli? Siamini..
 
Kwa kuficha aibu hiyo TBC wamekula kona faster hata kabla ya naibu spika kulihailisha Bunge, Ni aibu sana. Kwa siasa za Bongo, Tanesco Dodoma wajipange, kufukuzwa kaz kunawanukia..!
 
Siamini, but Mnyika awe makini humo gizani, atumie hata mwanga wa simu yake kuona njia ya kutoka vizuri!
 
Bora na huko ukatike maana wao ndio wameshindwa kuweka hii sekta sawa!!Kila siku sisi tu!??
 
hivi umeme umekatika au bulb za mwanga zimezimika? Hapa Bungeni umeme kota upo hata ukumbini ndio maana mmevisikia vipaza sauti, kasoro ni Bulb /Tubelight ndo zimezima km ni hujuma au mpango hatujui hata siku Mbunge wa Arumeru akichangia zilizima
 
Mh ndugai kaahirisha bunge mpaka kesho asubuhi baada ya umeme kukatika.

Jamani mjengoni hata stand by genereta hamna?

itakuwa chadema ndo wamekata umeme. ndo wabunge walikuwa wanasema hivyo. bunge dhaifu,serikali dhaifu. hata generator ya laki mbili imewashinda
 
Hivi ukumbi wetu wa mipasho.., ooooops bunge letu halina standby generator? Au hilo tatizo la umeme ni hujuma ya chdema??
 
Sooo sad yaani bungeni hakuna stand-by generator au kama ipo ????????

Huku uswazi si ndio tutakoma jamani..................so sad
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom