Bungeni chonde-chonde jamani

Mnyitono 2

Member
Oct 29, 2010
16
1
Kwa wabunge wetu.Jamani wanapoiandaa hiyo katiba mpya mimi naomba ishu ya 'RAIS AMBAYE YUPO MADARAKANI KATIKA KIPINDI HUSIKA'.
Iwepo sheria inayomuondoa madarakani pindi za uchaguzi na kuliachia kazi jeshi lisimamie nchi.Ili naye aonekane kama mgombea wa kawaida.
Tazama nchi za wenzetu tatizo kuwa linaloleta migogo ktk nchi mingi inatokana na kutokuwepo kwa hiyo sheria.Kwa sababu anakuwa bado na nguvu maana ikulu kuu na zile ndogondogo zinakuwa bado zipo chini yake,kwa hiyo anamua kile anachokitaka yeye.
 
Back
Top Bottom