Bunge shupavu la Tanzania: Pendekezo la wabunge 2010-2015 list down

Wiliam shelukindo na Betriece shelukindo hawatarudi hali ni ngumu...badala yake
January Makamba
Aisha kigoda
 
Edward Lowasa, Monduli
Mwandosya
Ali Maswanya
William Ngeleja
Masha
Mathayo David
Mathayo, Musoma Mjini
 
Dr.Slaa
Freeman Mbowe
Mpendazoe
Tundu Lisu
John Mnyika
Kafulila
James Mbatia
Renatus Mkinga
Mwita wa Tarime
 
NImeona Mwandosya kwenye list ya mdau King of Kings, sioni kama anaweza fanya lolote, amekuwa kwenye system hii mbovu miaka nenda rudi kama waziri, apumzike awapishe wengine sasa.

Kama tunatafuta wabunge watakaofanya bunge liwe active zaidi maoni yako ni sahihi lakini kwa upande wa kuchaguliwa there is no way utaweza kuwaconvice wapiga kura wake wakuelewe. Jamaa huwa anapita bila kupingwa na muda wote wa Kampeni anautumia kuwasaidia wale wenye upinzani majimboni mwao akiwemo mshikaji wa JK (Mwakipesile) ambaye baadaye alimtosa Mwandosya 2005 na akapoteza ubunge
 
Kwani JK a.k.a. Mbayuwayu naye ni Mbunge kumwingiza kwenye orodha ya wasiotakiwa kurudi?
 
Ndugu wanaJF natanguliza samahani nitakaowakwaza, Mwaka huu ningependa kupendekeza bunge letu lije na watu wafuatao,

Unaweza kuendeleza List (hata kwa wali ambao sio wabunge kwa sasa but wametangaza kugombea)


1.Dr W. Slaa
2.Dr Pombe
3.Dr Mwakyembe
4.Anna kilango
5.Olesendeka
6.Zitto kabwe
7.John Myika
8.Tundu Lissu
10.F. mbowe
11.Renatus Mkinga
13.Wilfred Lwakatare
14.George Simbachawene
15.Wabunge wote wa CUF Zanzibar
16.Anna Tibaijuka
17.Selelii
18.Lembeli
19.Said.Nkuba-Sikonge,Tabora
20.Mch.Amani Masangwa,Monduli kwa Lowasa
21.Samuel Sitta
22.Godfrey Zambi
23.Fred Mpendazoe(kama CCJ ikipata usajili)
24.Pinda
25.Arfi,Chadema Mpanda
26.Beatrice Shellukindo
27.William Shellukindo
28.Ndesamburo
29.Ananilea Nkya
31.Sima Rwakilomba - Karagwe
32.Mch. Msigwa - Iringa Mjini
33........
34........

Christofa Ole Sendeka hafai kabisa aaaaaaaaaaaaaa maana hana hekima, anagombana hata na mkuu wake wa mkoa!
 
Christofa Ole Sendeka hafai kabisa aaaaaaaaaaaaaa maana hana hekima, anagombana hata na mkuu wake wa mkoa!


Mkuu Mbarikiwa Ole sendeka Mpiganaji na hajagombana na mkuu wa mkoa hivi ni vionja vya siasa, kama wewe humkubali utakuwa walewale
 
Amosi Makalla jimbo la mvomero

Lakini sijapenda style anayokwenda nayo kule; na si kwamba nampigia upatu aliyepo sasa la; kwanza aliwabariki desi! Lakini style ya makall kujinadi mvomero na uamini wetu wa kupata mtusafi ni vitu visivyotangamana!
 
siasa za bongo bwana! mara hii tu watu wameisha msahau mh.Benedict Mtungirehi yule aliyejaribu kumtunishia msuri bosi wake Mrema.
 
kwa hapo Karagwe jamani nafikiri KARIM AMRI huyu ndo mzalendo tunayemtaka,achana na habari za huyo Siima wako.
 
kwa hapo Karagwe jamani nafikiri KARIM AMRI huyu ndo mzalendo tunayemtaka,achana na habari za huyo Siima wako.


Ndugu haya ni mawazo tu; mie sie ninayepitisha jina! weye subiri mchujo alafu njoo na hizi kampeni sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom