Bunge maalum la katiba lahairishwa jioni hii baada ya vurugu kutokea

safi sana tundu lisu,kwani ndiye aliyeanza kugundua huo ufedhuri wao,mtaanzaje kuona mapungufu ya kanuni wakati hata bado hazijaanza kutumika??kweli ccm ni mzigo!
 
"Tuna imani na sittaaaaa"-Makinda
=====================
Kama ccm hawana nia ya dhati ya kutunga katiba mpya ya wananchi basi prez avunje bunge hayo mabilioni yakanunue madawa na kuongeza vitanda mahospitalini.
 
Kwanini wavibadilishe KINYEMELA wakati wanaweza kutumia WINGI wao kuvipitisha/badilishi?! Kweli CCM imeishiwa busara kiasi hiki?

Kwani ujui hata wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani?
 
Ndg wilbrod slaa alishashema sitta hana jipya zaidi ya kulinda maslahi ya chama watu wakaanza kumponda nadhani sasa mnajionea wenyewe kwa macho hata ashuke malaika ndani ya ccm hakuna jipya litakalotokea chini ya jua .

Sita mi mzigo bora hata Kificho... Kazi yake kupoteza muda tu! Ebu niambie bunge linaahirishwa mpaka kesho saa 10! Asubuhi watakuwa wanafanya kazi gani? Ni mpuuzi sana huyu Babu ....unafki kauweka mbele sana...
 
Kipindi kile cha wiki 3 zilikuwa zimebaki kanuni 2 tu ambazo ilikubaliwa zijekujadiliwa ndani ya bunge baada ya bunge kufunguliwa,cha ajabu leo zimekuja kanuni nyengine zaidi ya 2 ambazo eti zijadiliwe wakati mwanzo zilibakia 2 tu,hali hiyo imezusha mtafaruku bungeni.
 
Tundu lisuuuuuuuu nibalaaaa huyu jamaaaa sabu anajua sheria vibaya!amedadavua jinsi wanavyotaka kuchakachua kanuni hadi miccm inaona aibu na akili zao ndogo!afu ikaanza kujitetea mbona hatujepewa draft yamabadiliko?jamaa kawapa mbovu,mwombeni mwenyekiti!tundu lisu and jussa keep it up mbaka waelewe hao maccm mbumbumbu kabisa,hatutaki hii takataka iingie bungeni leo sitta nywiii nyambafu eti mm mzee wa standard and speed!ushawekewa speep governor naukawa alaa mwendo wakobe!
 
Sitta kama amelogwa vile,bunge limemshinda na ikiwezekana wabunge wa UKAWA watoe hoja ya kumwondoa.
 
Sita ni kichaa tena livavyotembea wakati wa kutoka bungeni nachukia linaweka tumbo mbele ni nishaawambiaga ogopa majitu yenye matumbo makubwa linakaaa hapo kula posho bure hâta aibu halioni wenzake wanalituma kama zuzu sa sa likiona maji yamemshinda linakimbilia kuhairisha bunge et ndo linataka uraisi puuuuuuuuuuuuu.awe hâta u DC hafai kenge huyu jamaaa
 
Nilimuona anaweza kumbe ubongo wake umeshakuwa low! nilikuwa namwona wa maana kumbe nae ni kinyonga kinachobadilika badilika..!
HAFAI KABISAAAAAAAAAAAAAAAAA.
 
Aisee, hawa jamaa ni nouma.Sitta kanywea. Halafu Jussa naye kamuumbua kificho kwa kuwa wanakubaliana hili then yeye anapita mlango wa nyuma na kuleta hayo mabadiliko ya kanuni ambazo hata hazijaanza kutumika.Yaani ukistaajabu ya Mussa,utayaona ya firauni.Yaani leo wapepigwa za uso na Tundu Lissu na Ismail Jussa.MUNGU awape hekima na busara hawa wawakilishi wote wa hili bunge maalumu la katiba ili wasiweze kukata tamaa maana safari ni ndefu.
 
Tunamshukuru sana Tundu Lisu kwa kukuwaambia mapema, kwamba waondoe TAKATAKA YAO NDANI YA BUNGE... Safi sana WAKILI NA MWANASHERIA NGULI TUNDU LISU.

Bangoo uko Sawa, Tundu Lisu katamka wazi kuwa Kiti / sitta ni dhaifu anapindisha kanuni makusudi kwa kupata maelekezo ya CCM , Pia pongezi kwa Mwanasheria wa Zanzibar, bila kumsahau Jussa., Mwanasheria wa Jamhuri ya Muungano Tanzania katetea mwishowe kachemsha kazomewa kaishia kutamka kuwa alikuwa mwalimu wa Primary, Sekondari hadi chuo kikuu hivyo kuzomewa sio issue.
 
Jinga sana li sita nimetokea kulichukia kama jk linafiki siku île jk anaongea likawa linamlisha maneno kujipendekeza tuuuu ili lipendekezwe urais likagombee urais nyumbani kwake
 
Sita mi mzigo bora hata Kificho... Kazi yake kupoteza muda tu! Ebu niambie bunge linaahirishwa mpaka kesho saa 10! Asubuhi watakuwa wanafanya kazi gani? Ni mpuuzi sana huyu Babu ....unafki kauweka mbele sana...

Watakuwa wanaendelea kuchakachua kanuni na mambo mengine.
 
Back
Top Bottom