Bunge limpigie jk kura ya kukosa imani nae!!!

kamanzi

Senior Member
Oct 28, 2007
100
23
Japo wanaCCM wenzangu watanishangaa, nashauri bunge litakalokaa hivi karibuni limpigie JK kura ya kutokuwa na imani nae. Na hizi ndio sababu zangu 10 zilizonifanya nifikie huu uamuzi:
1) Anahusika moja kwa moja na Richmond na DOWANS
2) Maswahiba wake kama EL na RA ndio wahujumu uchumi namba moja Tanzania
3) Amejitahidi kwa nguvu zake zote kuanzisha udini TAnzania hasa kwa hotuba yake ya kwanza tangu bunge lililopo lifunguliwe rasmi.
4) Anaruhusu chuki baina ya watanzania kwa kushabikia udini na vurugu nchini ikiwa ni pamoja na mauaji ya Arusha na kuacha mitandao ya simu kama ZANTEL kutuma global sms kwa wateja wake bila kujali matokeo ya messages hizo za chuki
5) Yeye ni rahisi wa kwanza kuongoza nchi na familia yake (namaanisha Salma, Ridhiwani kuwa na nguvu kuliko hata mawaziri)
6) Nchi kaiacha kwa RA wakati yeye amegeuza ikulu kuwa ukumbi wa dansi
7) Hata waliochini yake hawamuheshimu mfano kila waziri wake anasema lakwake. Na hata kwenye chama chake ambapo yeye ni mwenyekiti kila mwananachma anatoa msimamo wake tofauti ikimaanisha JK hatoi leadership ya kutosha.
8) Kwakutumia UDOM, anagawa degree sizizo na thamani kwa maana kuwa watu wenye degree moja wanafundisha wanafunzi wanaosomea degree moja.
9) Ni mgonjwa anayeanguka anguka ovyo hivyo ni afadhali apumzishwe kwa manufaa ya umma
10) Ni mbinafsi asiyeshaurika
 
labda wabunge watoke kenya waje watusaidie kupiga kura na sio hao wakina RA EL n.k
 
Wabunge wakimpigia rais vote of no confidance, analivunja bunge automatically! tunarudi tena kwenye vurugu za uchaguzi! lakini cha msingi is who will finance the uchaguzi?
 
hayo yote yanawezekana kama wabunge wa ccm watajitoa mhanga kwani ndio wengi bungeni lakini kama hawatafanya hivyo mwana tz itabaki na Raisi huyohuyounayesema ni:kev::disapointed: mgonjwa mwenye characters zote ulizoziweka hapo

mapinduziiiiii daimaaaaaaa
 
Gud idea but remember wabunge wengi wanatoka ccm na wanaunga mkono hata mambo yasofaa. The only solution is keep fighing for what is right through demonstrations.
 
Sasa hivi wabunge wa CCM wako kwenye semina unategema hio semina itakuwa kwa ajili ya nini zaidi ya kuwaweka sawa ili waweze kusema NDIYO MZEE
 
Back
Top Bottom