Bunge likitusiwa aliyelitusi uitwa,Mahakama ikitukanwa ukaa kimnya ni muhimbili gani unamwogopa Huyu mhindi Tanzanian?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Muhimbili wwte wa serikali inapotekea ukawa abused lazima sisi WANANCHI wa Hali ya chini tuusemee maana sisi tunaieshimu Hiyo miimili jaman

Kitendo Cha ndugu yetu Rostam Azizi kutwambia mkataba kusaini Kwa kusisitiza kuwa ikitokea Kuna mgogoro lazima utatuliwa Kwa kutumia sheria za wingereza maana sheria na mahakama za Tanzania haziko huru maana zinaendeshwa Kwa sms na simu za kutoka ikulu ni tusi kubwa sana Kwa muhimili wa mahakama sisi tuna heshimu sana sheria zetu na mahakama zetu Kwa Nini mtu aabuse mahakama Mimi kama sifi Leo nauliza jaji mkuu upo wapi?au unaogopa kisa umeongezewa muda?
 
Mkuu, kuambiwa ukweli sio kutukanwa, kwani wangapi wamesema kuwa bunge ni dhaifu? Mbona hawajakamatwa ?
 
Kwani kusema ni udhaifu sio kweli? Ila kauli hizo za Rostam zina direct implications kuwa ni kweli vyombo vyetu vya sheria ni hovyo na amewaambia ukweli.
 
Muhimbili wwte wa serikali inapotekea ukawa abused lazima sisi WANANCHI wa Hali ya chini tuusemee maana sisi tunaieshimu Hiyo miimili jaman

Kitendo Cha ndugu yetu Rostam Azizi kutwambia mkataba kusaini Kwa kusisitiza kuwa ikitokea Kuna mgogoro lazima utatuliwa Kwa kutumia sheria za wingereza maana sheria na mahakama za Tanzania haziko huru maana zinaendeshwa Kwa sms na simu za kutoka ikulu ni tusi kubwa sana Kwa muhimili wa mahakama sisi tuna heshimu sana sheria zetu na mahakama zetu Kwa Nini mtu aabuse mahakama Mimi kama sifi Leo nauliza jaji mkuu upo wapi?au unaogopa kisa umeongezewa muda?
Mwarabu koko pesa yake ndio inampa jeuri ya kuwahonga huko mahakamani
 
Muhimbili wwte wa serikali inapotekea ukawa abused lazima sisi WANANCHI wa Hali ya chini tuusemee maana sisi tunaieshimu Hiyo miimili jaman

Kitendo Cha ndugu yetu Rostam Azizi kutwambia mkataba kusaini Kwa kusisitiza kuwa ikitokea Kuna mgogoro lazima utatuliwa Kwa kutumia sheria za wingereza maana sheria na mahakama za Tanzania haziko huru maana zinaendeshwa Kwa sms na simu za kutoka ikulu ni tusi kubwa sana Kwa muhimili wa mahakama sisi tuna heshimu sana sheria zetu na mahakama zetu Kwa Nini mtu aabuse mahakama Mimi kama sifi Leo nauliza jaji mkuu upo wapi?au unaogopa kisa umeongezewa muda?
Kwani ya Mbowe au ya COVID-19 ziliendeshwa kwa style gani .Tujisahihishe kwa kuheshimu matakwa ya wananchi kutaka katiba mpya na ya uajibikaji
 
Kwenye press hiyo hiyo ameclaim anasingiziwa ufisadi ndio maana hakuna aliyempeleka mahakamani. Contradiction kibao na kukwepa hoja. Anasema watanzania sio wajinga na hapo hapo anavyo address hoja na tuhuma zinazoelekezwa kwake ni dhahiri anafikiri anaongea na wajinga.
 
Mbona sijaona lawyers, advocates,judges,polisi wakienda kumkamata Ila angekuwa jamaa kajamba nani kila polisi angeonyesha uweledi wake wa kazi
 
Ukweli mchungu😁😁😁

Muhimbili wwte wa serikali inapotekea ukawa abused lazima sisi WANANCHI wa Hali ya chini tuusemee maana sisi tunaieshimu Hiyo miimili jaman

Kitendo Cha ndugu yetu Rostam Azizi kutwambia mkataba kusaini Kwa kusisitiza kuwa ikitokea Kuna mgogoro lazima utatuliwa Kwa kutumia sheria za wingereza maana sheria na mahakama za Tanzania haziko huru maana zinaendeshwa Kwa sms na simu za kutoka ikulu ni tusi kubwa sana Kwa muhimili wa mahakama sisi tuna heshimu sana sheria zetu na mahakama zetu Kwa Nini mtu aabuse mahakama Mimi kama sifi Leo nauliza jaji mkuu upo wapi?au unaogopa kisa umeongezewa muda?
Ukiwa na pesa raha sana,huyo mwamba anaogopwa hata na rais wa nchi,ogopa Mtu ambaye kwenye phone book yake,ana namba za Marais kadhaa wa AFRIKA,anaowasilina nao,
Hakuna ndani ya ccm wa kumgusa huyo mwamba,ni kingmaker,
Huyo ndio prigozn wa Samia na ccm,
Anajua Siri zao,amewaweka madarakani kwa fedha yake
 
Ni kama kadema ukweli lkn
 
Prigozn ama prigozhn?!!!

Kama "you mean the latter" basi sivyo.....

Tanzania ni nchi ambayo hata wewe unaichangia hivi ilivyo....kila mtu anachangia lake....

CCM ni chama ambacho mwanachama mimi na wengine kwa umoja wetu tunakifanya kilivyo.....

Rostam ni mtanzania...
Rostam ni mwanaCCM....

Maslahi mapana ya nchi ni mtambuka kwa kila mmoja wetu

#UndyingSpiritOfTheNation

#SiempreJMT
 
Back
Top Bottom